We unawaza hiki mwenzako anawaza kile..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We unawaza hiki mwenzako anawaza kile.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jun 19, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Nafikiri imefika wakati watu tuwe realistic na kuwa wazi mwanzo wa mahusiano nini mwatarajia kupata tokana na hayo mahusiano, na pia nguvu yako unayo invest iko level gani.
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah hayo mambo ya kitoto...watu wazima una nena unachokitaka mapema na atakuelewa tuu
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ndiyo maana inabidi kuweka karata zenu mezani mapema ili kuepuka lawama zisizo la lazima..
   
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ilo kweli kabisa, na ndo maumivu yanapoanza hapo.
   
 6. y

  yaliyomo yamo Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  io ndo habar kaml chelewa chelewa ukute mpangaj mpya
   
 7. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wadada wanatendwa sana duh wakati wao wana manisha wengi wetu unakuta walaah
   
 8. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Its high time tuwe na ndoa/mahusiano kwa contract! Mkataba ukiisha tunaangalia tu renew au tusitishe! Mana bila hivyo tutaumizana bwana
   
Loading...