Labda sio topiki nzuri, lakini kwa wanaume wanaotaka sifa kwa midemu fuata tips hizi hapa chini. Hizi njia zimenisadia na ndo mana nikishaduu na demu iko siku atanitafuta mwenyewe. Kwa wale...
Hellow ....kuna tukio limemtokea rafiki. Yangu alikuwa na mpnz wake wanapendana sana ila hakuwahi kusex naye ni mfanyabiashara kumbe rafiki yangu huyo alikuwa hawahi kufanya mapenzi cku...
As a woman, I can tell you that I'm in a relationship with my breasts. After all, they've always been there for me. And God willing, they will never leave me. On a good breast day, I look in the...
Habari wana JF,
nina rafiki yangu anafanya kazi kwenye compuni ana mtoto mmoja na hawana mawasiliano na baba wa mtoto tangu mtoto azaliwe ana umri wa miaka miwali,
Kuna mwanaume ofisini kwao...
Over and over, wanaume ndo wamekuwa wakifukuzia kitendo.
Wadada ndo wepesi wa kusema muda bado, tusubiri kidogo na visingizio vyote.
Can that change, at least wakati huu wa ukweli na uwazi?
Kama hawa Mawaziri vivuli amabao hutoa alternative budgets, plans etc nk......je kuna wanandoa ''kivuli'' (somebody anayesubiri ndoa ya mtu iharibike nae aingie ndani kuchukua nafasi)
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
Umri: asizidi miaka 24
kabila:mkurya/mjaluo
dini: mkiristo
kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
appearance...
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex...
Habari zenu wajameni nina kaka yangu sasa yeye ana tatizo linamsumbua,Yeye alikuwa na uhusiano na binti mmoja wa kiarabu na akazaa naye mtoto wa kike ingawa katika mahusiano yao wao walipendana...
Ndugu, hii ni hadithi niliyoisikia kwa muda mrefu. Sasa naiona kwenye youtube ikiwa imetokea huko Kenya. Ktk kuulizia nimeambiwa ni matukio ya mara kwa mara ktk kanda ya Tanga, Moshi, Arusha na...
Wanawake watakuwa na haki ya kuwatongoza wanaume,kulipa mahali na hatimaye kuwaoa kama wanaume walivyokuwa wanafanya hapo Kabla.Haya ni maoni ya watu wengi wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu katiba...
Wengi wetu tuna kwenda misikitini, makanisani, na hata jamatini na kwenye mahekalu au kutambika. Kote huko lugha ya upendo inazungumzwa sana. vitabu vyetu vitukufu vinatuambia kwamba ni jambo...