Nitajuaje kuwa mi ni mtamu na ninamridhisha mwenzangu?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Jamani nataka kujua ntajuaje kama namridhisha mwenzangu?
Maana sijawahi sikia mwanaume akilalamika kuwa hajafikishwa kileleni
 
Pole sana mimi huwa namsifia mpenzi wangu kuwa ni mtamu sana.Nafikiri unapaswa kumuuliza mwenzio anajisikiaje wakati mnapiga show kwenye stage.Hapo utapata majibu
 
Hapa sina neno je ww anakufikisha?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jamani nataka kujua ntajuaje kama namridhisha mwenzangu?
Maana sijawahi sikia mwanaume akilalamika kuwa hajafikishwa kileleni

utamu wako unapimwa na mara ngapi jamaa anataka K yako. so wee kipimo kizuri ni dnt initiate the act tulia tuu ata kama una hamu naye. kama kweli wee mtamu atakuomba tuu laki kama wee mchungu wala hatajisumbua atakuacha ulivyo
 
Nazjaz ukitoa tabia ambayo mtu anaweza kuitumia kama kigezo cha kukuacha, kama umeshawahi kuachwa na maboyfriend zaidi ya wanne wakati wameshakumega jua wewe siyo mtamu au una kasoro ambayo wakikueleza labda watakukwaza.
 
MR acha uongo kuachwa sio sababu ya kutokuwa mtamu ati!!!

Ujue sex is not everything right???? Kuachana kuna mengi huchangia
 
Kwani huwa hawakwambii??? Au hisikii jamaa akifikia Kibo????

Naona anochotaka yeye kujua yaani kama k yake ni tamu!!!! Maana katika hali ya kawaida wanaume hawachelewi kushusha na akishashusha kelele hana, sasa yeye anataka licha ya mwanaume kushusha lakini je yeye ni mtamu??????
 
Ndo maana yake si kuachwa na wanaume wanne eti asiwe mtamu....................
 
jitahidi na kumwuliza maswali mwenza wako wakati upo ktk game.
1. vipi dear unajisikiaje?
2. sorry baby unataka nikae vipi?
3. unapenda staili gani
4 je nakufikisha
usione aibu kusema naye na kujiachia, kama yote hayo hakujibu yupo kimya basi jua mmmh! hamna aanachopata.
 
Back
Top Bottom