Natafuta mchumba wa kike!(serious enough) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kike!(serious enough)

Discussion in 'Love Connect' started by TRUSTWORTHINESS, Oct 5, 2012.

 1. T

  TRUSTWORTHINESS Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
  Umri: asizidi miaka 24
  kabila:mkurya/mjaluo
  dini: mkiristo
  kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
  appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
  Rangi: yoyote.

  Mimi nina sifa hizi:
  jina: Eliya
  eliya@rocketmail.com.
  Umri: miaka 27
  kabila:mkurya
  dini: mkiristo
  elimu:
  chuo kikuu
  kazi: mwanasheria wa halmashauri.
  appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
  Rangi: mweusi.

  TAFADHALI dada aliye TAYARi tuwasiliane kupitia eliya@rocketmail.com. then tutazidi wasiliana kwa simu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ngoja nibadili kabila na umri, ili nifit hii offer.
  Tohanchane Mura!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu hii proposal ni hataree..
  komaa ndugu unaweza fanikiwa..
   
 4. B

  Bona_Fide Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  utabidi u-attach na certified documents zako kabisa.. wadada dili ilo!
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yaani karne ya 21 bado watu wanaongelea ukabila! Mke na kabila wapi na wapi? Hata kama ni haki yako kuchagua umtakaye, vitu kama hivi si vya kuanika. Anyway endelea huenda ukampata huyo kabila lako. Ila siku akikugeuzia kibao usije jamvini na michozi yako.
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ametaja kabila ili akianza kugawa visago waende sawa
   
 7. The Great Architec

  The Great Architec Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Your in the wrong place try love connect ndo ipo special kwa ajili ya wanaotafuta wapenzi n gud luck
   
 8. s

  souvenir Senior Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani mtu akichagua kuoa au kuolewa n kabila lake ni dhambi?Mbona Waisrael walikuwa wanaoana wenyewe?Kipendacho mtu roho kula baba
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  vingine vyote poa ...umri umenipiga mgongo.....kila heri braza
   
 10. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,950
  Likes Received: 6,711
  Trophy Points: 280
  Pengine anataka kupata mtu wa kutoana naye manundu vizuri! Si unajua ukisikia Kurya or Jita tribe husband, qualification kubwa waliyo nayo, ni ya kuwadunda wake zao! Sasa angalau akipata tribemate, huyo mke, hatastuka sana atakapokuwa anafanywa punching box!!
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hahaha!uwe ghati o'muhanchile ?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, ndio.
  Nataka awe baba Rhobi na mie mama Rhobi.

   
 13. amu

  amu JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Nimependa ulivyoweka CV
  haya bana mi sina vyote hivyo
   
 14. s

  sacha Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sifa zote ninazo ila mm mhaya!!itakuwaje ss!!
   
 15. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimefurahi kuona hii post. All the best, wakurya na wajaluo walimu wapo wengi tu humu JF. All the best
   
 16. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kongosho si kabila na umri kama una elimu ya chuo kikuu itabidi ufiche vyeti maana mchumba anaetakiwa ni mwalimu wa shule ya msingi/sekondari. Lakini unaweza usivifiche kama vyeti ni vya ualimu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Opps, nilipitiwa na hiyo ya elimu

  Naona hii iffer imenikataa kabisa

   
Loading...