Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
NDUGU MARAFIKI Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. “Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangualiponitay arishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Usafi ni tabia si uwezo kifedha!Hata kama mwonekano wako wa nje si kila kitu bado ni kitu muhimu sana katika mahusiano na mwenzi wako. Binadamu hunagalia kwa nje na Mungu huangalia moyo (1Samweli...
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Helllo My People Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Nimeshindwa mtu wa kuzungumza naye kuhusu hili sababu naona linanizidi kidogo na kuni overwhelm kwa namna flani sababu limenitokea mfululizo Namjali kila moja kwa jinsi ninavyoweza na pia...
7 Reactions
177 Replies
10K Views
In our society marriage is the structure people use to create a stable family unit. A man and woman marry with the intention of staying together for life. Within that bond they usually have...
1 Reactions
3 Replies
992 Views
Kuna watu linapokuja suala la mapenzi sijui wamerogwa....!! Kuna mpangaji mwenzangu hapa yeye hachagui mwanamke wa kufanya naye mapenzi machangudoa, mahouse girl, mama lishe, wauza mboga...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka 4 iliyopita nilikuwa naanza kusoma chuo fulani hivi hapa mjini siku moja nilikuwa nimeingia admission nilikuwa na shida na kitambulisho changu cha chuo ,my teacher akaniona akashtuka...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
Helo wanajamvi,salute sana kwenu na poleni kwa majukumu!! IM SERIOUSLY LOOKING FOR A COMMITED FEMALE FRIEND....! Im 24yrs old(male),Tanzanian and student in one of the university found in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo! Kama unakwalify niPM plz!
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nini kilichotufikisha hapa? ni sheria zetu, sheria za UNO yaani za haki za binadamu, ni kumuacha Mungu na Maadili yetu na kufuata maadili ya kishezi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKAZI wa Mtaa wa Mpanda Hotel, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Nzego Vicent (33), amejiua kwa kujinyonga na kamba baada ya mkewe kumnyima tendo la ndoa.Tukio hilo limetokea hapo juzi majira ya saa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
A man in London walked into the produce section of his local supermarket and asked to buy half a head of cabbage. The boy working in that department told him that they only sold whole heads of...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF, naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa. ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na...
1 Reactions
98 Replies
8K Views
Which one of the following can make you dump your patner? 1) snoring 2) smelling feet 3) bad kisser 4) lack of romance 5) bad performance in bed 6) lack of swag/sence of style 7) big tummy...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni...
3 Reactions
224 Replies
18K Views
kwanin baada ya wanandoa kuishi pamoja kwa muda hupoteza hamu yatendo landoa? kama walikuwa wakipiga magoli 3,4,5 huishia moja wakijitahid 2?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilijikuta nimeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mmoja pasipo kumfahamu vizuri.Kwa kifupi ni kwamba alitokea kunipenda japo hakuweza kuniambia moja kwa moja,na mimi...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Nimetumia muda mwingi kutafakari mahusiano ya wapendanao hatimae ninashawishika kuamini kuwa kuna haja ya kwenda likizo ya mapenzi kwa wapendanao. Jaribu, kufikiri busara ya kuwepo kwa likizo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Revellers at a popular restaurant and lodging in Kericho County watched free drama as a man and the mother-in-law busted each other at a popular lodging...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom