Ubakaji wakati wa mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubakaji wakati wa mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Acrimonious, Oct 7, 2012.

 1. A

  Acrimonious New Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hellow ....kuna tukio limemtokea rafiki. Yangu alikuwa na mpnz wake wanapendana sana ila hakuwahi kusex naye ni mfanyabiashara kumbe rafiki yangu huyo alikuwa hawahi kufanya mapenzi cku zilivyozidi kusonga mpnz wake akahic akawa anaomba asex nae rafiki yangu huyo akawa anakataa cku ya cku mpnz wake akamualika dinner kumbe mwanaume ameshapanga mambo yake akamnywesha pombe kuona vile akaanza kumuambia anaumwa na tumbo ampeleke chumbani kwake rafiki yangu akamkokota hadi chumbani kufika mwanaume akamuambia aangalie kama kuna maji bafuni that tym mwanaume akaenda kufunga mlango na kuanza kumbaka na kumpotezea ucchana wake.rafiki yangu aliamua kuachana nae kutokana na kitendo hicho cha kikatili ...mwaka sasa umepita amekutana na huyo mwanaume tena anamuomba msamaha anataka warudiane ili wafunge ndoa.anaomba ushauri ndo nimeleta kwenu wadau
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuandika vizuri.

  Muda mwingine ni bora kutoa sababu za kutotaka kusex sio una kataa tu. Mtu ukimkatalia lazima pia uangalie na mazingira ya kukutana nae na ina bidi uwe makini.

  Mwambie kuwa anaweza kumkubalia au kumkatalia lakini asitangulize sana swala la kuolewa.
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Pole sana japo hata mwandiko wako unaonyesha bado under 18, subiri kwanza ukue usije enda kuumizwa tena mtoto mzuri.
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  ...wataalamu njooni hapa
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Ubakaji upo sanaa mjini hapa, haswa kwa nyie wasichana VIRGIN afu wanapenda kula vitu vya watu kama Lara 1 huku ubabe hawauwezi!!!! Pole yake! Siku nyingine akienda kwa mwanaume for the first time AJIKAMILISHE KIJESHI. Mi nikienda kwa mtu hata rafiki tu wa kiume, no matter namuamini vipi lazima nijihami kwa kubeba dawa/drug aina ya GHB YA POWDER a.k.a NITAKUPA NIKITAKA!!! Hii ni noma, the shit dsnt smell at all, na unga wake ni kama powder ya foundation. Machale yakinicheza tu, naenda chooni, na mix na powder najipaka kwenye nido!!! Utanijua!!? Ole wako unuse na kulamba nido, kwisha habari yako!!! Utaona nyota mia nane!!!! Mjini Mipango!!!

  Huyo wala usimsamehe, siku anaweza KUKULA KIBOGA AKAOMBA MSAMAHA KAKOSEA NJIA!!!
   
 6. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  pole sana na nyie mabinti wa sasa hivi mnawahi sana kunywa pombe, enzi zile unaolewa hata coca hujawahi kunywa fantaaaaaaaaa,
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kubakwa ni nightmare, asonge mbele tu
   
 8. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ha..hahaha ,u made my dei
   
 9. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Mambo ndivo yanavo kwenda . We unakata sex wakati upo maeneo hatari ajipange bana
  by the way si awalikuwa wakipendana sasa mistake yakwanza hiyo haito jirudia tena wafanye kusahau yalio pita na wa gange yajayo na hawa wanawake muwe mna angalia bana.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnhhhhh
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hili la kukosea njia naona limekukuta
  huachi kulizungumza
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Very smart.
  I love you, Miss Independent!
   
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm bia zimemponza.
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wasichana wengi wanabakwa na wapenz wao coz wengi hawana maujanja, mie kama sitaki huyo jamaa hawez kupata kitu kwan sintompa nafac ya kufanya hivyo kama ni bar akiniita sinywi pombe maeneo hatar kama gest au gheto sikanyagi jambo la msing ni kutompa nafasi wala mazingira ya kutimiza lengo lake
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! The Boss naona huelewi, kila siku nakueleza kuwa MIMI NI NOMAAAAA! Haiwezekena mtu akosee njia kwangu alafu abaki hai na rijali!!!! Either kama yupo hai basi ashageuzwa MSENGERY na Kama Rijali basi Kafa siku nyingi kifo cha kutatanisha!!!! Hapana chezea dhambi ambayo mpaka SHETANI anakuogopa!!!! Naona this time utaelewa!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kwa nini alikunywa pombe ilhali haziwezi?

  anyway mpe pole sana..... mwambie asikilize moyo wake ila asiahe moyo wake ucontrol akili zake....
   
 17. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sometimes wanawake huwa wanajitakia matatizo wenyewe, kama unajua u are not ready kutoa vitu why put yourself in compromising situation na mwanaume, stay away!
   
 18. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Any way ilishatokea! NOTE: Kwa wadada wote kama hujawa tayari kufanya hayo mambo epuka sana ulimbukeni wa kunywa pombe ili uonekane wewe sio mshamba, usitoke mwenyewe kama una mashaka unaweza hata ukaenda na rafiki yako maana hata angesema anaumwa tumbo mngempleka wewe na friend wako then asingeweza kuwafanya lolote.
   
 19. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiona manyoya jua kashaliwa huyo chezea kiroba wewe!!!!!!!!!!!!
   
 20. Fabian the Jr

  Fabian the Jr JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 80
  mh, GHB!! we mdada noma kama sio kurumbembe wewe, cjui.
   
Loading...