Wanaume na manguo ya ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume na manguo ya ndani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Suzie, Oct 7, 2012.

 1. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex lakwake chafuu alafu kalianika, Jo Makini mtu mzima na yeye anavalia suruali chini ya makalio upuuzi mtupu. Nyie wakaka wa JF kabla hamjaanza kutusema mavazi wanawake embu wafundisheni wadogo zenu ndo tutawaheshimu au na nyie mmedondoshea mnatafuta soko dizaini Arabuni
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,507
  Trophy Points: 280
  kikuumacho n nini?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yaani na wewe unatoa jibu hili? Mweeeh!
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanatangaza kuwa wana biashara!
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Kumbe unazungumzia wasanii wa fleva. Ni nilidhani una base kwa wanaume wa maana.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani hao vijana Wamejinyea,,, kumbe ni kata K... Kweli ushamba umenikolea
   
 7. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Dawa ya hawa wasanii ni kutiwa vidole tu, pengine nao ni mboga kama watangazaji wengi wa Clouds!
   
 8. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wameshazoea,utakuwa unawapa raha tu,labda nondo zenye kutu zitumike.
   
 9. G

  Gene Senior Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FUATA MAMBO YAKO HAPO UTAKUFA NA PRESHA TU.....KAMA YESU MWENYEWE ALISHINDWA KUMFANYA KILA MTU AFUATE ANACHOKIPENDA SEMBUSE WEWE...Kama we hupendi ni bora ukakaa kimya kuliko kujipa pressure zisizo za maana... Ukizaa mfundishe tu mtoto wako asiwe hivyo...

  HATA KWA WANAWAKE KELELE ZINAPIGWA NYINGI TU..... Lakini ndo yanaongezeka kuwa majinga ya mavazi
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Kiusanii inakubalika,, ila hilo la hizo nguo zenyewe kuwa chafu ndilo la kujadili..
   
 11. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280

  Sawa basi nitaenda kuziokota kule Keko viwandani.
   
 12. j

  joel amani Senior Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi hakuna tatizo kwa msanii kufanya hivyo,asipofanya hivyo hatapendwa na watu
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah Saint Ivuga vip mdogo wangu!na we unatupia nini za hivo?au unawatetea tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  says who?
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  jamani jamani:shock::shock::bolt:!mna ushahidi na hii mineno?
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Biashara ya back door:eek::screwy:
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona wema sepetu akiacha makalio wazi jukwaani mnamjia juu? Na wengine wakianika manyonyo mnakuwa wakali?
   
 18. L

  Lughe Senior Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwa binadam yeyote kuwa personality yake ndiyo inaonesha nini anacho mwake kichwani nani aweza akawa.Iwe ulimbukeni au hata ushamba but it is too much....!Ya wezekana kwa kutokuwa na upeo finyu or even exposure kwenye swala zima la yeye nani awe ndio inafikia unakuta wanaigana na kuja na bad interpretation kwamba msaani lazima avae kata K ili nguo ya ndani ionekane.binafsi nawazarau sana.
   
 19. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Wanaovaa nguo chini ya makalio na kuonyesha michpi yao ni Mabwabwa aka watoto wa watu,Masela waombeni t.......................go hao!
   
 20. p

  pazzy Senior Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hupaswi kutuhukumu wanaume wote kwa kosa la jamii flani!hata hivyo wasanii wetu wengi hawajui mpngilio mzuri wa mavazi wawapo ktk kazi yao{show}...nijukumu letu wote kama jamii iliyostarabika pamoja na waandishi wa habari kuwaelimisha na kuwakosoa!
   
Loading...