huzuni

we kama mimi....kuna kaka namzimia tena humu humu JF....lakini naogopa kumwambia......
we wa kwako umeshamueleza.....?

Niambie tu Preta huenda ikawa na mie nilikuwa nakuvutia pumzi.
 
Last edited by a moderator:
Yani hivi unavyosubiria ushauri ndivyo unavyozidi kupoteza muda...tuliza moyo then muelekeze ukweli! acha wasi wasi mwisho wa siku wajanja wachukue uanze kulalamika
 
Yani hivi unavyosubiria ushauri ndivyo unavyozidi kupoteza muda...tuliza moyo then muelekeze ukweli! acha wasi wasi mwisho wa siku wajanja wachukue uanze kulalamika

Hiyo Avatar yako ...Utata mtupu...
 
Huwa wanahitaji kupendwa kwanza ndio watapenda we mchukulie kawaida na onesha upendo wako kwani huwezi jua kama anakupenda au lah

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu nakushauri umpende anayekupenda,vinginevyo utaiona dunia chungu.Na mbaya zaidi utaona sisi wenzio tunaishi kwa furaha katiki muda tutakaokuwa duniani!
 
Back
Top Bottom