Kumbadiri rafiki kuwa mpenzi wako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbadiri rafiki kuwa mpenzi wako.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mfarisayomtata, Oct 8, 2012.

 1. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hivi wadau ni namna gani unaweza kumbadiri rafiki yako wa kike awe mpenzi wako??
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  umeshabugi men!!! hutakiwi kuwa rafiki na demu kama wamtaka maana atakuchukulia kama kaka....la msingi ni kufika kwenye point toka mwanzo kuwa wamtaka kimapenzi
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  itategemea na ni rafiki gani
  but rafiki kama rafiki ni ngumu kweli kweli
  ushaharibu
   
 4. D

  DAVID KING Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jembe komaa nae huyo mwanamke tu panga hotuba inayoeweka kisha mfate naamini ataingia mkenge tu
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi mwnyewe inanipa tabu kweli nina best wangu japo sio kitambo viiiiile lakini nampenda kinoma awe GF wangu sema sasa niliishaharibu ni marafiki
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Ushaingia kwenye ZOMBIII ZONE!!! Ni wachache wana make it back to the sexual relation ship zone. It might be a bi hard but its POSSIBLE!!!

  La mbolea kwanza hapo ni kutoka kwenye UZOMBIII na kurudi NEAUTRAL POINT. Kivipi? Hapo inatakiwa mtu mzima utoe ALTIMATUM kuwa kama UNAONEKANA HUDESERVE KUPEWA KIDUDE! BAAAAAASSS! BORA UANZE MBELE KWA MBELE NA SIO KUWA SECOND BEST!!! Baada ya kuchimba huo mkwara mzito, unaacha upuuzi wako wa kuwa rafiki mnafiki, Unakuwa NEUTRAL kama hamjuani vile.

  UKIWA ON NEUTRAL POINT, UNADVANCE TO TAKE OVER!!! Hapo sasa unachukua new totoz na kuctandika bakora shosti friends kumuonesha WHAT AN OPPORTUNITY SHE PASSED!!! (Smts wanawake wanamuona mwanaume wa maana zaidi akiwa anamilikiwa na mwanamke mwingine!!!) Hapo utaona SMS za kizushi, kukusalimia na nini! BAAAAAAAAASS! Unamita unamwambia IF SHE STILL WANTS NAFASI YA UPENZI KWAKO BADO IPO!!! GAME OVER!!!!
   
 7. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Rafiki yako ashindwi kuwa mpz wako,inategemea unataka nn maana urafiki nikuckiliza na kusaidia ktk namna moja au nyingne.alafu suala la mpz c kujua kutongoza 2 na unaye mtongoza akupende labda wale wa uza samaki aina ya papaa ndio awatongozwi,muueleze hisia zako akikataaa mnaendelea kuwa marafiki ila juwa mapz yanawahi kuisha kuliko urafiki
   
 8. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Lara1, we ni noma, ila kuna zile unaweza ukakuta umempeperusha hivihivi dadadeki.
   
 9. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo ni bora nife kifo cha Muwa na utamu wangu??
   
 10. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hakuna ugumu rafiki yako ndio anaweza kukusaidia shida zako,na hyooo uliyo nayo nishida mwambie akusaidie kila kukicha ajuwe upo serious
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Bora ukisanue tuuu! Ila atakuheshimu kuwa YOU STOOD UP FOR YOUR SELF!!! We unadhani hajui kama unampenda? Anakuchora tuuu! Ila ukimpa altimatum atakupenda zaidi!! Trust Me, Girls wana penda guys that can stand up on them!!! Ila ukiwa ZOMBIII, anakuchora tu na anajua huna ujanja wa kujikwamua!
   
 12. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemeana na urafiki wenu uko vipi, lkn inawezekana kabisa kama utamuonyesha kwa dhati kwamba mahusiano unayoenda kuanzisha yana nia safi.
   
 13. Root

  Root JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,251
  Likes Received: 12,977
  Trophy Points: 280
  Amoung all I dated all of them were and are still friends of me

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mbona hiyo ni rahisi sana tena huo ni mkakati mzuri sana, kwanini umtongoze msichana....kutongoza kazi sana....mara ukunje sura, utoke kijasho kidogo kwapani yote hiyo ya nini?......Anza kumtoa out halafu uwe unacheki reaction yake....mtoe out sehemu ambazo siko private (halafu check reaction yake), mtoe out usiku halafu kaa naye karibu sana uwe unamgusagusa (cheki reaction yake), muulize swali kuwa unataka kupata mchumba akusaidie ku mu assess (ukiona yuko hasi) ujue yeye pia anakupenda, ukitoka naye usiku hivi uwe unamgusa gusa (check reaction yake). Mwambie wiki ijayo utaenda zanzibar kwa siku mbili, mwambie uende naye kama atapenda (check reaction yake)................. ukiona yuko chanya sehemu nyingine, basi siku moja mchukue mwambie wiki ijayo nitakupeleka sehemu moja hivi................. atakuuliza wapi? kufanya nini? wewe utasema aah nitakwambia baadaye usiwe na wasiwasi, na kila siku nitakuwa nakukumbusha kuhusu hiyo outing, basi siku ikifika ukiona yupo tayari kwa hiyo outing wewe mpeleke straight unakotaka.....though njiani atakusumbua sana na maswali akijifanya hataki kwenda asikokujua na hajui nia yako.TUMIA MOJAWAPO AU MBINU ZOTE UTABAINI KAMA UTAMPATA AU UENDELEE KUMUITA DADA
   
 15. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kintinku kweli wewe fundi.
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,143
  Likes Received: 10,500
  Trophy Points: 280
  Nimekuvulia kofia LARA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kwani uliwezaje kuwa rafiki yake? Tumia mbinu zile zile
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mambie twende tukafanya matusi wewe utaona reaction yakew
   
 19. Fabian the Jr

  Fabian the Jr JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 80
  duh yan mkuu nimechungulia tu nikakutana na huu uzi, kuingia ndan nakuta hili li ushauri, hahahaaa, nakumbuka nilshawah kutumia njia hii ikanisaidia. But inamuhtaj mtu mjanja kama boyaboya itakushnda.
   
 20. Fabian the Jr

  Fabian the Jr JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 80
  mkuu we professional.
   
Loading...