Mahusiano na umri mdogo

sweet lady

Member
Oct 5, 2012
7
1
hivi kwanini siku hizi watu uanza mahusiano ktk umri mdogo ata kutenda tendo la ndoa.?tofauti na enzi za mababu zetu?
 
Kabla ya yooote naomba aje sweetlady original niambiwe nini kinaendelea hapa! Lol.

sweet lady mgeni unatumia vigezo gani dear? Mahusiano kwa wanawake yalikua yakianza mapema toka enzi za kale, tofauti ni kuwa enzi za mababu binti akivunja ungo (haijalishi ana miaka 14) alikuwa akiolewa.. whereas sasa hivi watoto wanajipeleka wenyewe tokana na sababu mbali mbali baadhi zikiwa hizi;

  1. Wazazi kuwa busy mno.
  2. Utamaduni wa kuiga toka nje unakuwa kwa kasi.
  3. Tabia ya kuwaachia watoto simu.
  4. Kushuka kwa maadili, kaka/baba zetu hawaona aibu kuwavulia watoto chupi.
  5. Tamaa ya maisha; hasa kutaka vitu nje ya uwezo.
  6. Umasikini uliokithiri.
  7. Malezi mabaya kwa baadhi ya wazazi.
  8. Kukua kwa matumizi ya internet yanaleta balaa pia.
  9. n.k

Naona uko post ya pili... Karibu sana JF. Pamoja saana.
 
hivi kwanini siku hizi watu uanza mahusiano ktk umri mdogo ata kutenda tendo la ndoa.?tofauti na enzi za mababu zetu?
Umri mdogo unaouongelea ni upi?
Enzi za mababu hatukuwepo, hivyo watu waliotutangulia wana-take advantage kutudanganya.
Enzi za mababu watu walikuwa wanaanza mapenzi mapema zaidi na ndoa mapema zaidi. Na ilikua sio ajabu kusikia mwanamke wa umri wa kati, amezalishwa watoto kumi au zaidi, sasa je alianza kuzaa akiwa na umri gani?
Vitabu vya dini ni vya zamani lakini pia utakuta mtoto wa kike alikua halali akiwa 12yrs old, umri huu ni wa mtoto wa darasa la tano ambapo wengi wa watoto wa siku hizi huanza mapenzi.
Hakuna ukweli katika hilo. Haya ni maneno wanayoyatumia waliotuzidi umri ili kuweza kujaribu kuwa-control vijana.
 
maisha yamebadilika kiasi, na najibu hili swali nikiwa na mkanganyiko wa hiyo mapema unaipima kwa umri au darasa.

Mababu zetu walikuwa wanaanza wakiwa wadogo sana, sema walikuwa wanaoa au kuolewa.

Zamani binti akimaliza darasa la nne au la saba na wengine hawakwenda shule kabisa anatafutiwa mme anaolewa kati ya umri wa miaka 14 -18.

Leo binti unasoma hadi chuo kikuu unamaliza na umri wa miaka 25, unategemea uitunze tu hadi ndoa?

Kingine hata umri wa kuishi mababu zetu ulikuwa mkubwa, leo 'life expectancy' imepungua sasa ukiendelea kuitunza si utakufa kabla hujafaidi mzao wa mizabibu?

Hata baolojia ya miili ya watoto inadadilika kiaina, enzi ya nyuma kidogo binti alikuwa anavunja ungo akiwa na miaka 13 hadi 18, siku hizi watoto baadhi wanaanza wakiwa mna miaka 10, hii ni dalili tosha baolijia ya mwili wake iko tayari kuupokea mshedede.
 
Acha Uongo enzi za mababu walikua wanaoa hadi miaka 14 that means walikua wanaanza mapenzi wakiwa na miaka 10,Siku hizi mtoto wa miaka 14 kimuonekano utadhani ana miaka 30.....
 
Mimi sioni kama siku hizi watu wanaanza mambo haya katika umri mdogo ila tu niseme kuwa siku hizi mambo haya yamekuwa wazi sana tofauti na zamani.

Zamani ndio waliokuwa wanaongoza kwa kufanya matendo haya katika umri mdogo ila tu kulikuwa na taratibu zake tofauti na sasa,kwa mfano binti alikuwa akiolewa katika umri wa kuanzia miaka 14 hata chini ya hapo ikitegemea na ukuaji wake,hivyo kusema siku hizi tendo linafanyika mapema zaidi si kweli.
 
zaman walikua wanaingia ktk ndoa mapema na wanafundwa jinsi ya kuish na mume,cku hz watoto wanajifunda wenyewe.
 
VERY TRu

Mimi sioni kama siku hizi watu wanaanza mambo haya katika umri mdogo ila tu niseme kuwa siku hizi mambo haya yamekuwa wazi sana tofauti na zamani.

Zamani ndio waliokuwa wanaongoza kwa kufanya matendo haya katika umri mdogo ila tu kulikuwa na taratibu zake tofauti na sasa,kwa mfano binti alikuwa akiolewa katika umri wa kuanzia miaka 14 hata chini ya hapo ikitegemea na ukuaji wake,hivyo kusema siku hizi tendo linafanyika mapema zaidi si kweli.
 
maisha yamebadilika kiasi, na najibu hili swali nikiwa na mkanganyiko wa hiyo mapema unaipima kwa umri au darasa.

Mababu zetu walikuwa wanaanza wakiwa wadogo sana, sema walikuwa wanaoa au kuolewa.

Zamani binti akimaliza darasa la nne au la saba na wengine hawakwenda shule kabisa anatafutiwa mme anaolewa kati ya umri wa miaka 14 -18.

Leo binti unasoma hadi chuo kikuu unamaliza na umri wa miaka 25, unategemea uitunze tu hadi ndoa?

Kingine hata umri wa kuishi mababu zetu ulikuwa mkubwa, leo 'life expectancy' imepungua sasa ukiendelea kuitunza si utakufa kabla hujafaidi mzao wa mizabibu?

Hata baolojia ya miili ya watoto inadadilika kiaina, enzi ya nyuma kidogo binti alikuwa anavunja ungo akiwa na miaka 13 hadi 18, siku hizi watoto baadhi wanaanza wakiwa mna miaka 10, hii ni dalili tosha baolijia ya mwili wake iko tayari kuupokea mshedede.

HONGERAAAA!!! IMARAAAAA! WAAAAAAAAAAAAA! Pata kinywaji cha SENETOR BARIDIIIII kikupoooze baada ya usfia wa JMOSI!
 
Mimi naona ngono ya mapema inachangiwa sana na vitu mbalimbali kama Maumbile, vyakula , utandawazi & simu, uchumi, elimu, Umri, mob psychology,Tamaa na mmomonyoko wa maadili.
 
sweetlady umelimwa ban au imekuwaje? halafu mods mambo gani haya system inakubali majina yanayofanana hata kama katikati kuna space.....

Back to sweet lady,
utamdawazi na mmomonyoka wa maadili unachangia, siku hizi watoto toka primary wanajua kusex, mtoto wa miaka 4 anajuaa mama anazaa wakati enzi zile unaambiwa watoto wanaokotwa....

Pia mijanaume mibazazi imezidi inaenda kulaghai watoto hadi wa primary....

Bila kusahau wazazi wa siku hizi mmezidi uzungu, enzi zetu mtu mzima yoyote ni mzazi, akikufuma vichochoroni na janaume au akiwakuta vijana wamekumbatia uchochoroni unaweza kuwaadhibu sasa hivi thubutu kuadhibu mtoto wa mtu uone.....

Wazazi pia hawana muda wa kukaa na kuzungumza na watoto, na malezi wameachiwa housegirls
nk
nk
nk
 
Last edited by a moderator:
Umri mdogo unaouongelea ni upi?
Enzi za mababu hatukuwepo, hivyo watu waliotutangulia wana-take advantage kutudanganya.
Enzi za mababu watu walikuwa wanaanza mapenzi mapema zaidi na ndoa mapema zaidi. Na ilikua sio ajabu kusikia mwanamke wa umri wa kati, amezalishwa watoto kumi au zaidi, sasa je alianza kuzaa akiwa na umri gani?
Vitabu vya dini ni vya zamani lakini pia utakuta mtoto wa kike alikua halali akiwa 12yrs old, umri huu ni wa mtoto wa darasa la tano ambapo wengi wa watoto wa siku hizi huanza mapenzi.
Hakuna ukweli katika hilo. Haya ni maneno wanayoyatumia waliotuzidi umri ili kuweza kujaribu kuwa-control vijana.
Hao wamiaka 12 kusema ukweli mimi bado sijashuhudia. Labda mtaani kwako
 
Mimi sioni makosa ndio investment hiyo ila tendo la ndoa hapana aisee inabidi usubiri kakue

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hapa naona watu weng wametaja sababu za kijamii (social reasons)ila mi nadhani mabadiliko katika ulaji yanayopelekea kwa kutumia vitu man made kuliko vitu vya asili,mtoto wa miaka 15 sasa iv anaonekana kuwa dada wa miaka 25,
 
maisha yamebadilika kiasi, na najibu hili swali nikiwa na mkanganyiko wa hiyo mapema unaipima kwa umri au darasa.

Mababu zetu walikuwa wanaanza wakiwa wadogo sana, sema walikuwa wanaoa au kuolewa.

Zamani binti akimaliza darasa la nne au la saba na wengine hawakwenda shule kabisa anatafutiwa mme anaolewa kati ya umri wa miaka 14 -18.

Leo binti unasoma hadi chuo kikuu unamaliza na umri wa miaka 25, unategemea uitunze tu hadi ndoa?

Kingine hata umri wa kuishi mababu zetu ulikuwa mkubwa, leo 'life expectancy' imepungua sasa ukiendelea kuitunza si utakufa kabla hujafaidi mzao wa mizabibu?

Hata baolojia ya miili ya watoto inadadilika kiaina, enzi ya nyuma kidogo binti alikuwa anavunja ungo akiwa na miaka 13 hadi 18, siku hizi watoto baadhi wanaanza wakiwa mna miaka 10, hii ni dalili tosha baolijia ya mwili wake iko tayari kuupokea mshedede.

safi sana we kongosho weye unatishagaa. Sana na coment zako nzur.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom