Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Kama hawa Mawaziri vivuli amabao hutoa alternative budgets, plans etc nk......je kuna wanandoa ''kivuli'' (somebody anayesubiri ndoa ya mtu iharibike nae aingie ndani kuchukua nafasi)
Kama hawa Mawaziri vivuli amabao hutoa alternative budgets, plans etc nk......je kuna wanandoa ''kivuli'' (somebody anayesubiri ndoa ya mtu iharibike nae aingie ndani kuchukua nafasi)
Mbona wapo wanaochukua nafasi hata kabla ndoa haijaharibika?
Mbona wapo wanaochukua nafasi hata kabla ndoa haijaharibika?
Hao sio ''vivuli'' bali ni magerila
mwambie huyu hajui
kuna waume wasaidizi pia lol
wanalipa ada ya mtoto au kutoa hela ya saloon mwenye mke ukijifanya mbahili lol
Hapo red umeniacha solemba lol
mbona wapo..... Halafu wzkishaingia ndani wanalalamika kuibiwa wakati wenyewe ni wezi wastaafu