Mpenzi zaidi ya mmoja.

Wewe unaongelea mapenzi yapi?

Mana unapo sema mapenzi navyo jua yako kwa mke au wake zako tu, kuna mapenzi pia ya kindugu, mapenzi kwa wazi au marafiki zako.

Ama kama unaongela kusex na ma gf ni mapenzi inabidi ukapime lugha yako ina makosa sana, mtu anafanya sex ya mapenzi na mke wake, au wake zake tu :biggrin:
 
utamu...unajua kuwa ile kitu nii tofaiti from one person to another
 
Back
Top Bottom