Mwanamke anakandamizwa na mambo makuu 4 ambayo ni lazima jamii zote zilizoendelea na zinazoendelea hazinabudi kuyafuta
1. Mila zinzowapendelea wanaume zifutwe zote : wanaume kuoa wake wengi...
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe...
Kuna rafiki yangu ana miaka 28 sasa, na yuko mwaka wa pili katika chuo flan hapa nchn, katka maisha yake hajawah kukutana na mschana ambaye anawez kumuoa, kwa sasa ana miez 6 yuko na mahusiano na...
Kuna rafiki yangu aliwahi kuolewa baadae akashindana na mme wake wakaachana lakini walikuwa wamebahatika kupata watoto wawili, ni miaka nane sasa tangu watengane na mme wake, alikataa kabisa...
Huku Uswahilini kwetu wanawake wengi wanatamani sana kuolewa, lakini cha kusikitisha vijana wengi wa kiume wanaogopa kuoa. Hivi nini huenda ikawa inasababisha hali hii?
Hivi ndivyo jinsi msichana anayejiheshimu na kujielewa anavyotuma SMS kwa mpenzi wake:
"Hi honey, I am just out of work heading for lunch now. I wish I could see you today. Take care, good day...
Jana mida ya saa kumi na moja nilikuwa mitaa ya Posta. Sasa wakati wa kutaka kuondoka kwenda nyumbani, usafiri wa daladala ulikuwa mgumu sana. Bahati nzuri au mbaya jamaa mmoja alikuwa na...
Kesho majira ya asubuhi (kama saa tatu hivi), Jumatatu tarehe 11 November 2013, nategemea kuwa maeneo ya Morogoro mjini. Nitakuwa na issues zangu binafsi (maana mie ni mjasiriamali). Kuna Jamaa...
bila kupamba wala nini, ningependa mnijuze wanajamvi kwa tafiti zenu, kama hili jambo lina uhalisia , ya kwamba wanawake wazuri hawaolewi. hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???
Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa nimeajiriwa katika taasis moja hivi na mmoja katika ofice mate wangu alinijia akiwa na shida na akaniomba nimkopeshe. huyu jamaa alikuwa anaishi kwenye nyumba ya...
Wadau naulizia massage ya DAR BEAUTY PARLOUR AND NATURAL THERAPY iko maeneo gani...nilikua nackia iko mikocheni ila cjajua iko karibu na sehemu gani:A S confused:
Jamani mm ni Kijana mwenyewe umri wa miaka 22 nafanya kazi udereva ambayo naendesha gari ya kigogo mmoja hapa Dar es salaam......Napata mitihani mingi ikiwemo huu ambao unanisumbua kweli kweli Mke...
Ama kweli udotcom umeleta mambo juu ya mambo. Huko Marekani watu wenye akili za kijasiriamali wanajua kuzitumia fursa bana.
Mwenzio anakumbwa na madhali huku wewe unaangalia kama ndani yake (hayo...
MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 25,NIKO MWAKA WA PILI KTK CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO(MTWARA);NIKICHUKUA SHAHADA YA KWANZA YA ELIMU.
MIAKA 2,ILIYOPITA NILIKUWA NA MCHUMBA WANGU...
Habari zenu ............
Nimefikiria mapito wanadamu tunayopitia katika maisha ya kila siku........matendo ambayo tunayatenda yakumpendeza Mungu na yasio mpendeza yeye lakin kwa neema zake bado...
Naona jua linazama na niwakati ambao kwetu sisi upendo kwa wanawake unaongezeka maradufu.
Tuna wimbo unaimbwa hivi" ne mdala wangu nikupali sana hasa palihere lyuva" ukimaansa 'mke wangu...
Wanabodi Wasalaam Aleyikum
Kwa kuwa JF ni kisma cha hekima na busara nimeona nishee na ninyi hiki kisanga ambacho nimekipata kwa shemeji yangu. Na ni tumaini langu kuwa mtasaidia kutoa maoni na...
^^
Tukiweka kando wale wanawake ambao wakiona pesa ya mwanaume ndio hutoa tabasamu la upendo,,wapo wachache sana (wanahesabika) ambao wakifanyiwa mambo yafuatayo na wanaume wawapendao basi nyuso...
1.Kutompa ATTENTION yako mpenzi wako.....
Mf:scrolling jamii forum wakati uko naye...
-Focusing on your football games muda mchache unaoupata ukiwa home....
2.Kutokutoa SIFA STAHIKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.