Kuna mtu huwa ananitumia Messages, mara ananisalimia, mara ananiambia forward kwa watu hamsini utabarikiwa, messages kibao zingine hazina kichwa wala miguu. Nikijaribu kuchunguza, kwa kweli hiyo...
Mwenzenu nimeingia kwenye mahusiano na moyo umependa jumla, ila huyu mpenz anawaza ngono 24*7.
Hapa nina mpango wa kujiweka pembeni kabisa sababu naona yamenishinda ,
Hivi wanaume siku hizi...
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo...
Kuna mdada wa senegal alikimbia vita liberia yupo senegal kwenye camp ya wakimbizi sasa kuna pesa ziliachwa na wazazi wake bank ya scotland na kwenye urithi aliandikwa yeye. Siku akatuma maombi ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala...
Kuna tatizo la wadada wengi kutoolewa siku hizi na kuishia kuona ndoa bongo movies na kwa wengine tu japo nao wanahitaji. Sababu sababishi ni hizi zifuatazo:
1. Umri
Mdada akishafikia umri kuanzia...
#Majanga ,
Naomba nifunguke kidogo.
Huko nyuma kuanzia miaka ya 1990 masuala ya uasherati yalikuwa katika kiwango cha chini sana tofauti na sasa ambapo rate ya uasherati imepamba moto sana...
Sura hiyo hapo ni ya mwanaume. Bila shaka umeshawahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo.
Mwanaume mwenye sura kama hii ana...
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kikubwa awe na utayari wa kuwa katika mahusiano na japo awe maeneo ya Geita,Mwanza na Shinyanga(lakini siyo lazima).Uaminifu pia ni kitu muhimu anachotakiwa kuwa...
Kila msichana ninayekua nae, baada ya wiki moja mbili ya kufahamiana, utasikia tumbo la hedhi, mara vidonda vya tumbo, mara kipanda uso, miguu inauma, kifua kinabana, mara chango etc.
Ivi kitendo...
Mambo vp wana JF,
Mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya...
Nina siku nyingi sana usingizi kwangu shida, hamu yakula sina,hata utendaji wangu wa kazi unapungua sana, sababu kubwa ndoa yangu jamani,nalazimika kutengana na mume wangu hali bado nampenda. mume...
Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka
WANAFUNZI wa sekondari wa kike na kiume ni miongoni mwa wagonjwa walioathirika zaidi na saratani ya njia ya haja kubwa wanaofika...
kwa aliyetendwa kama mimi
Ili tuweze kufutana machozi,
Ili tusaulishane yalotukuta,
pia tupange PRESENT, FUTURE yetu na tusahau yalopita.
a garl aliyepitia nilopitia ANAKARIBISWA!!!...
jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni...
Warembo mpoooo??
Leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ile ya nyuma mlikuwa mkitongozwa mnasema " nina mtu" au " acha nijifikirie maana nina mtu" hizi kauli saivi zimeishia wapi??? hahahahahaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.