She is a homewrecker

She is a homewrecker

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,514
Reaction score
146,036
Ama kweli udotcom umeleta mambo juu ya mambo. Huko Marekani watu wenye akili za kijasiriamali wanajua kuzitumia fursa bana.

Mwenzio anakumbwa na madhali huku wewe unaangalia kama ndani yake (hayo madhali) kuna fursa.

Sasa kuna watu wamekuja na jamvi la shesahomwrecker.com. Hili jamvi ni mahsusi kwa wanawake waliotendwa kuwachana wanawake 'waliowaibia' waume na wanaume zao. Yaani kama wewe ni mwanamke halafu unamjua 'mwizi' wa mwanamme wako basi unaingia (na wanaruhusu kuweka picha za 'mwizi' wako) unaanza kufunguka.

Wenyewe wanalielezea hivi jamvi lao:

They say if you can't beat them join them, but we say if you can't beat them, EXPOSE them! Shesahomewrecker.com is exposing everyone from the Hollywood Homewrecker to the average white picket fence destroying women who just can't seem to let go of your husbands and boyfriends!

Do you have a story to share or a HOMEWRECKER to expose? If so, click the
Expose Homewrecker button via the website. Don't forget to include photos! We LOVE to publish pictures of the Mistress who is driving you mad!

Sasa hebu fikiria tovuti kama hiyo ingekuwepo bongo. Yaani ingekuwa vurugu mechi tupu. Smile katembea na mume wa Karucee ambaye ndo The Boss.

Smile anasema kama noma na iwe noma....anajimwaga She's A Homewrecker | Expose Her Now! anaanza kufunguka, na picha juu.

Aisee mbona itakuwa balaa.
 
Hahhahahahaha. I swear am going to get you for this.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ikitokea bongo hii web ujue yatatokea mauaji ya kimbari. Mwisho wake wanaumr watauana na wanawake wajane watabaki kutukanana. Hujawaona fb? Fungua id ya kike uombe kuingia magroup ya wanawake ujionee senema.

Unakuta mtandao balaa, naona hata uvivu kutolea mfano. Ila yule anatembea na huyu na mume wa yule anatoka na mke wa yuleee.
 
Mie bwana The Boss alianza kuondoka nyumbani mapema zaidi na anachelewa kurudi. Tena akirudi yupo bwaaxxxx nikimuuliza anakuwa jeuri. Siku si siku akarudi anang'aa midomo kwa lipshine ndo hapo nikaanza kumfatilia. Nikamkuta pale Opera Bar Kebby's amekumbatiana na kibinti kizuriiiii kina mshepuuuuu kinaitwa Smile. So nimeamua kumu expose huyu binti na namuambia amuache ze hazibendi wangu.
 
Ukimwi je? Watadedi kama panya.
 
Ama kweli udotcom umeleta mambo juu ya mambo. Huko Marekani watu wenye akili za kijasiriamali wanajua kuzitumia fursa bana.

Mwenzio anakumbwa na madhali huku wewe unaangalia kama ndani yake (hayo madhali) kuna fursa.

Sasa kuna watu wamekuja na jamvi la shesahomwrecker.com. Hili jamvi ni mahsusi kwa wanawake waliotendwa kuwachana wanawake 'waliowaibia' waume na wanaume zao. Yaani kama wewe ni mwanamke halafu unamjua 'mwizi' wa mwanamme wako basi unaingia (na wanaruhusu kuweka picha za 'mwizi' wako) unaanza kufunguka.

Wenyewe wanalielezea hivi jamvi lao:

Sasa hebu fikiria tovuti kama hiyo ingekuwepo bongo. Yaani ingekuwa vurugu mechi tupu. Smile katembea na mume wa Karucee ambaye ndo The Boss.

Smile anasema kama noma na iwe noma....anajimwaga She's A Homewrecker | Expose Her Now! anaanza kufunguka, na picha juu.

Aisee mbona itakuwa balaa.

....Bongo ni mwendo wa Tindikali tu!
 
....Bongo ni mwendo wa Tindikali tu!

Haha. Umenikumbusha jana nimeenda ubalozi flani halafu mkononi nilikuwa nimeshika chupa ya maji. So dada mlinzi akaniuliza maji hayo? Nikamuuliza hii sura inaonekana inapiga viroba mchana. Akaniambia kunywa, nikamuuliza WTF kuja kugundua kumbe hofu yao isiwe nimebeba tindikali.
 
......haya sasa, bora kuvaa helmet bongo zama hizi za 'mistaken identity!' Ya homewreckers...
 
Mbona The Boss mkewe namjua? Utasutwa wewe sasa manake jamaa ana mke na 4 kids. Usinitaje.
Mie bwana The Boss alianza kuondoka nyumbani mapema zaidi na anachelewa kurudi. Tena akirudi yupo bwaaxxxx nikimuuliza anakuwa jeuri. Siku si siku akarudi anang'aa midomo kwa lipshine ndo hapo nikaanza kumfatilia. Nikamkuta pale Opera Bar Kebby's amekumbatiana na kibinti kizuriiiii kina mshepuuuuu kinaitwa Smile. So nimeamua kumu expose huyu binti na namuambia amuache ze hazibendi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ah.... mbona kutakuwa hakushikiki mjini, ila kwa bongo tuliozoea siasa .za majitaka tutasingiziana ka kukomoana zaidi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom