Wanawake wengi wanapenda kuolewa, wanaume wengi wanaogopa kuoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wengi wanapenda kuolewa, wanaume wengi wanaogopa kuoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, May 31, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,356
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  Huku Uswahilini kwetu wanawake wengi wanatamani sana kuolewa, lakini cha kusikitisha vijana wengi wa kiume wanaogopa kuoa. Hivi nini huenda ikawa inasababisha hali hii?
   
 2. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hali ngumu ya maisha
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahah Yummy umepatia kweli. . .
  Dada anataka kuolewa ili maisha yawe rahisi. . .kaka anaogopa maana maisha yatakuwa magumu. Kazi ipo aisee.

  Maamuzi yao wote wawili yanaathiriwa na hali ya maisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii ndio inafanya watu waamini wanawake ni wengi kuliko wanaume kumbe sio ila wanaume waoaji ndio wachache na wanawake wanaotaka kuolewa ni wengi mno.
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Halafu hii tabia ya wanawake kuwazoea waume zao mapema inawakatisha tamaa. Unachumbia mtoto akiwa na heshima pengine anakupa shikamoo. Owa tu baada ya mwezi mmoja anakuwa yeye ndie mwenye sauti na hapo tena ndio kafunguliwa kila kitu.
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kwa tamaduni za kibantu imekuwa kawaida mwanamke kuwa tegemezi katika hawa wanandoa wawili, kwahiyo mabinti wengi wanataka kuingia katika ndoa ili wapate unafuu wa maisha. Kwani wanajua kama mwanaume anaamua kuoa basi huenda atakuwa amejiweka sawa au ana shughuli ya kumwingizia kipato. Sasa basi kwa upande wa wanaume wao inapofikia suala la kuoa inakuwa ngumu kwani anajua familia itaongezeka akijua hali ngumu ya maisha.
   
 7. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kwa tamaduni za kibantu imekuwa kawaida mwanamke kuwa tegemezi katika hawa wanandoa wawili, kwahiyo mabinti wengi wanataka kuingia katika ndoa ili wapate unafuu wa maisha. Kwani wanajua kama mwanaume anaamua kuoa basi huenda atakuwa amejiweka sawa au ana shughuli ya kumwingizia kipato. Sasa basi kwa upande wa wanaume wao inapofikia suala la kuoa inakuwa ngumu kwani anajua familia itaongezeka akijua hali ngumu ya maisha. Kwahiyo mambo yako hivyo. Vijana wengi kwa sasa wanaogopa kuingia katika ndoa, wengine wanaamua kuingia katika ndoa kwa kushinikizwa na wazazi wao.
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  usanii umezidi...dada zetu fresh wakati bado hamja oana...akishaingia ndani basi nyodo. alafu wengine nao wanataka kuolewa ili watoe mkosi tuu na sio ili kweli wawe wake.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  We mbona umjichanganya mwenyewe sasa! Yaani ni kama umetoa hela kutoka kwa pochi, umeiweka kifuani kwenye sidiria halafu unaitafuta eti imeenda wapi hela yako!
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wanawake wanaolewa kwa kuiga flani kaolewa na wao wanataka tofauti kwa wanaume.
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kuanzia hapo unaweza fanya utafiti ukapata jawabu na likawa limesaidia jamii kwa ujumla...
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  na waliiolewa wanatamani kurudi kwenye usingle-lady
   
 13. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hyo ilikuwa zamani siku hizi wanawake wengi hawapendi kuolewa coz hawataki kubanwa banwa.
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Fanya tena utafiti mkuu.
   
 15. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duh! Hiyo ya kumuamkia mume shikamoo kama unamuamkia baba ngumu, lol! Eti shikamoo ...
   
 16. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180

  Shikamoo Mpenzi!!
   
 17. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndiyo sababu
   

  Attached Files:

 18. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haiji kabisa!
   
 19. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hmmm sasa ndo kusema hatuoani?
   
 20. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbona haueleweki!!!!!
   
Loading...