Madudu 10 ya uhusiano!!!

Madudu 10 ya uhusiano!!!

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
1.Kutompa ATTENTION yako mpenzi wako.....
Mf:scrolling jamii forum wakati uko naye...
-Focusing on your football games muda mchache unaoupata ukiwa home....

2.Kutokutoa SIFA STAHIKI..
-Wanaume wanapenda kusifiwa kuwa ni WANAUME!Iwe katika mafanikio madogomadogo au hata 'Mapendoz'kiujumla....yeeees!(Damn You Mr. Ego)
Wanawake wanapenda kusifiwa wanapopendeza,wanapopika chakula kizuri na wanapokufanyia chochote kizuri......Sifa zimeumbwa!

3.Kulazimisha Usawa.
-Usifocus kwenye kupokea......Wewe Toa Upendo Kadri MUNGU alivyokujalia....usiwe mwepesi wa ku-keep scores.....Mpeee....Wee Mpeee...

4.Kutotimiza Ahadi.
Uaminifu unajengwa na ahadi ndogondogo unazozitimiza......Unapaswa kuwa makini na kauli zako......kama humaanishi basi SHUT UP!!

5.Kuongea zaidi ya kusikiliza.
-My ladies mpooo?najua tumejaaliwa maneno lakini tusikilize kwanza kabla hatujamuonesha 'kipaji'chetu....
Na wababa plllllllzzzz....wengine mna GUBUUUU....sikiliza kwanza upande wa pili kabla ya kuongea tuuuuu.
Pia Katika mazungumzo ya kawaida ni vyema mmoja kuchagua kuwa msikilizaji.

6.Usikivu Zero...
-Inafanana na kosa la hapo juu sema hii sasa ni namna ya usikilizaji wa partners.....Mpenzi au mwenzi wako akiongea acha dharau!....Unaweza kutingisha kichwa,kumwangalia usoni au hata kuuliza maswali pale unapotaka Maelezo.

7.Kutoupa Uhusiano Wenu Kipaumbele.
-Marafiki,Ndugu ma Jamaa Wasubiri tuuu...Ndioooo....WASUBIRI TU!Mke au Mume wako ndio ndugu yako number moja sababu nyie ni mwili mmoja.....Usiharibu mipango yako na mwenzio sababu tu ya Rafiki au Ndugu....Mshirikishane katika kila jambo na usione aibu kufanya kinyume cha wengine,kama wao wa kwao wanawaacha ndani ni wao.....kama ni BAR after work nenda naye!

B.Acha ku-criticize.
-Kazi hiyo mwachie Salama J na wengine...Kwenye mahusiano hakuna kukandiana,kuna kujengana...Maneno yanaumiza sana....Chagua maneno yako unapotaka kukosoa jambo la mpenzio.

9.Kulalama.
-Usipende kunung'unika kila mara....Majibizano yapo ila uwe unaargue kimapenzi zaidi...Mmekwaruzana kisha donge limeisha....baaaasi LIFE GOES ON!

10.Kubadilishana kwa nguvu.
-Kuna sababu iliyokufanya umpende......kuna ulivyoridhika navyo...Usikazanie lisilowezekana....Mwache awe yeye!

Sante Kalesa.
 
Back
Top Bottom