Hebu vuta picha unaweka ahadi na demu au mpenzi wako mkutane.hamba simu.usiku giza no umeme.unakaa unasubiri wee kumbe mwenzako katumwa wilaya ya pili mpaka ujue usha choma maindi kwa...
Wana Jf, nawaombeni kunisaidia kunitafutia rafiki yangu niliyepoteana naye toka 1998
anaitwa AWADH OMAR MFANGAVO
Kwa mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi posta na simu Dar es salaam.​...
Habari zenu wote,
Lengo la kuja hapa mnisaidie kufanya maombi/ kusali nisi-cheat. Niko arusha kikazi (semina)kwenye hoteli moja maarufu mjini, sasa nimekutana na mtu ambaye tululikuwa lovers...
Awe rafiki sana:
-Niweze kumuamini na kumtegemea pale inapobidi
-Niweze kuzungumza naye hisia zangu bila kificho
-Tushirikiane katika hali mbalimbali inapofaa
-etc..
Ikiwezekana awe mke kabisa...
Tuna mazoea ya kufanya mambo bila kujiuliza sababu ya kuyafanya,lakini hatuna mazoea ya kujiuliza ni kwanini tuna hayo mazoea ya kufanya hayo mambo bila ya kujiuliza wakati tuna akili timamu...
Inahuzunisha sana wanajamvi, mpenzi wangu alifariki ghafla. Alikuwa na tatizo la moyo alilokuwa anatibiwa kwa miaka 4,
Nataka kushare shairi nililoliandika leo, toka nimeanza liandika asubuhi...
habarini wapendwa.....
leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake...
jamani kama mjuavyo nyumba nyingi za kupanga zilizo huku uswahilini vyoo na
mabafu ni vya kushare yani unakuta nyumba ina vyumba kumi na mbili ila choo
na bafu ni kimoja manake mtashare na...
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji...
Bwana Yesu asifiwe....
Asalaam Aleikum....
Tumsifu Yesu Kristu...
Story ya kweli kabisaaaa.....
Iko hivi, kuna mdada mmoja alitoka katika familia ya kifukara sana Usukumani (Bariadi)...
Uso kwa mwanamke ni eneo muhimu sana, wenyewe wanaita reception, na ndio maana maduka ya vipodozi yameongezeka sana huko mitaani kwa sababu soko lipo. Ukitaka kumtisha mwanamke mwambie ngozi ya...
!Kuna wanaume wanayo taabia ya KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU.
Kuna kasumba moja imetawala vichwa vya tulio wengi:
Sasa uchunguzi umedhihirisha wazi kwamba MWANAUME anae chukua mke wa mtu ndiye...
Kumekua na tatizo kwa siku hivi karibuni kutokea matukio ya mauaji kwa Wanawake au Wachumba.
Kuna matukio mengi ambayo yanatokea kwa wanawake au wasichana kufanyiwa unyama wa Mauaji na wachumba au...
Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na...
Kuna mdada msenegal kaniomba msaada. Yeye ni yatima baba yake enzi za uhai alikuwa mfanya biashara wa madini katika maswala ya urithi aliandikwa yeye. Sasa kuna pesa ziko scotland 4200000 milion...
Ni janga ambalo limemkuta my best frind, alikuwa na house girl ambae kwa muonekano tu unaweza kusema she is very innocent. Ameishi nae for 3 years na amemlelea watoto wake 2! Majuzi huyo msichana...
mara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.