Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
Naona jua linazama na niwakati ambao kwetu sisi upendo kwa wanawake unaongezeka maradufu.
Tuna wimbo unaimbwa hivi" ne mdala wangu nikupali sana hasa palihere lyuva" ukimaansa 'mke wangu nakupenda sana hasa jua linapozama''!!!!