kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,316
- 17,581
Mwanamke anakandamizwa na mambo makuu 4 ambayo ni lazima jamii zote zilizoendelea na zinazoendelea hazinabudi kuyafuta
1. Mila zinzowapendelea wanaume zifutwe zote : wanaume kuoa wake wengi, kurithi
2. Mila zinazowapendela wanawake zifutwe zote: Wanawake kupewa Mahari, kulishwa na kutunzwa na wanaume
3. Dini zote kuu zifutwe: Ukristo na uislamu, dini zote hizi zinawapendelea wanaume na kuwaweka wanawake daraja la pili
4. Sheria zote kandamizi kwa wanawake zifutwe
Mambo haya manne ndilo chimbuko la dhuluma dhidi ya wanawake kote duniani, uongo kweli?