Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari zenu wana MMU, katika dunia hii kuna mambo mengi sana, katika mambo hayo moja linaweza kukufurahisha wewe na likamkera mwingine, we kwako baya kwa mwingine huwa zuri na kinyume chake...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
SIFA KUU ya mwanamke anayetakiwa kuolewa ni hii hapa : AWE NA HOFU KUU YA KUACHIKA ! Awe anaogopa kuachika au kuachana kuliko anavyo ogopa kufa ...
6 Reactions
70 Replies
12K Views
Salaam Wakuu, Sometimes unakaa kwa Relation na mtu si kwa sababu hana matatizo, au yeye ndo best kuliko wote,ni kwa sababu tu matatizo mnayopitia leo mmeyazoea na kila yanapotokea mmeshajua...
12 Reactions
35 Replies
5K Views
mmeshindaje wanajamvi? mie mwenzenu jumapili ya leo nimeboreka kama nini. ukinipa company hata ya kuchat nitashukuru. karibuni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Basi katika pitapita zangu si nikakaona binti flani mtaani, nikamtamani nikamtokea, akanikubalia mahusiano yakaanza. ukweli ni kwamba bado niponipo sanaa afu hata mipango hiyo sina. Sasa yeye si...
0 Reactions
118 Replies
12K Views
0718836303 under 19
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Kesho majira ya asubuhi (kama saa tatu hivi), Jumatatu tarehe 11 November 2013, nategemea kuwa maeneo ya Morogoro mjini. Nitakuwa na issues zangu binafsi (maana mie ni mjasiriamali). Kuna Jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi nina mwaka wa pili sasa nimeolewa!tatizo ni kwamba wakati wa tendo la ndoa,nina kiuno kigumu aisee hata kuzungusha siwezi mpaka nahisi mme anachukizwa japo hajawah kuniambia!naomba nisaidieni...
0 Reactions
9 Replies
25K Views
Money & love bisha
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni neno ambalo siku hizi ni nadra kulisikia lakini nyakati zile lilitumika sana likimaanisha mwanamke mal..ya asiyejua kukataa mwanaume Wakati ule mwanamke hakuvulii pichu yake mpaka uhangaike...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
naitwa p.m naish dar npo chuo mwaka wa pili, naitaji mke mchamungu, anaejua kupenda,mweupe,mrefu kias,kabila lolote,dini yeyote,asiwe mrev, mm sna mtoto nae pia,awe amesoma chuo kikuu, namin mungu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF Kwanza nikiri mtu kutokuwa muaminifu ni tabia binafsi lakini pia lazima tukubali tabia huathiriwa na mazingira, hivyo basi pamoja na kwamba wanawake mmeumbwa na asili ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
wadau, habari za mujini??????? i hope wote mmeshapata breakfast! kama kuna ambaye hajaridhika ani-pm nimtafute kwa m-pesa!! ok, mi suala ambalo limenileta hapa mbele yenu ni kuhusu huyu shemeji...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
1: BACHELOR HUSBAND Does things on his own without consulting wife. Hangs out a lot with friends more than wife. Not serious about marriage life. 2: ACIDIC HUSBAND Is always boiling like acid...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi, tafadhali naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa hli janga,mimi mwanachuo mwaka wapili sasa, nina mschana ambaye nimekuwa nae kwa miaka 2 sasa, ofkoz mwanzon nilipanga kuwa nae...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
The different types of women Posted on October 29th, 2013 by CAPITAL LIFESTYLE Women are as diverse as they come hence they all come in different...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje? Msifanye jokes, nipo serious.
1 Reactions
51 Replies
38K Views
Wadau salaam! Kama kawaida yetu tunatumia JF kama sehemu mahsusi ku-air masuala mbalimbali yanayotusibu kwenye confrontations za life letu! Sasa ninachojiuliza ni vile watu wanavyoripoti mkasa...
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanajamvi upepo wa maisha bdo haujakaa vzur kwangu kila kukicha bora jana,wenye mapenzi mema napenda tuchart kwa pm,tupeane mawazo,ushauri,na hata ikikupendeza unisaidie mtanzania...
2 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom