Ni vema kutenga muda wa kumshukuru mungu..........

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Habari zenu ............

Nimefikiria mapito wanadamu tunayopitia katika maisha ya kila siku........matendo ambayo tunayatenda yakumpendeza Mungu na yasio mpendeza yeye lakin kwa neema zake bado tunaishi.

Je umewahi kufikiria unamrudishia nini Bwana (Mungu) kwa ukarimu wake?Mungu ni mwema sana ...uwanyeshea mvua wote watenda mema na maovu.

Nimependa kushare na nyinyi jambo hili hata kama nitaondoka chini ya jua leo,ni vyema kutenga muda wakumshukuru Mungu.
Mwenye link ya wimbo wa ambassadors of christ Rwanda pliz tupia niburudike!!!!!

Karibuni tumshukuru Mungu kwa ukuu wake Heaven on Earth, Smile, Himidini, DEMBA, Kaizer, GreenCity, IGWE, Mamndenyi, tinna cute, charminglady, mimi49, Munkari, Ennie, ladydoctor, atug, mwallu neggirl, Baba V, The Boss na wengineo wote jamani.


Ni mimi miss strong wa JF
 
Tunashukuer kwa kutukumbusha, hakuna zaidi yake. mhh ukifikiria bora kumshukuru daima. Waovu na watenda mema wote tupo na anatujua.
 
Back
Top Bottom