Ndoa hulindwa kwa gharama yoyote ile

milimo

Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
61
Points
0

milimo

Member
Joined Nov 29, 2012
61 0
Kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili
kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana
nayo rafiki yangu wa karibu. Rafiki yangu huyo ni mwaminifu kwa kiasi kikubwa (not 100%)
kwenye ndoa yake, kutokana na hilo wanaheshimiana sana na mke wake, hivyo ni ndoa
ambayo kila mtu angetamani kuiga kwa jinsi wanavyonekana kuishi kwa furaha na upendo
(japokuwa hatujui mambo ndani). Siku moja wakati jamaa yangu akirudi nyumbani toka
kazini foleni zilimzingua (kama ujuavyo foleni za ‘Darisalama’) akamua kuegesha gari lake
kwenye pub moja hivi ili foleni ipungue. Akapata moja ya baridi, mara ya pili, ya tatu,
ya nne……… Kushoto kwake kukawa na mrembo naye pia anabariizi na moja ya baridi.
Jamaa baada ya kukolea na bia akanzisha stori na huyo mrembo, mwisho maongezi yakabadilika
na kuanza kuombana mambo ya wakubwa, oh, mara wakaelekea nyumba ya wageni wakati wote
ni wakazi wa ‘Darisalama’. Baada ya pombe kupungu mukichwani, kushtuka ni saa tisa usiku,
hayuko home, na ‘my wife’ wake kapiga sana simu (kuna, missed call’ kama kumi hivi) na kuna missed
call za kakake, shemeji zake n.k. Akapiga akili za mukichwani mara akapata mawazo; ilipofika saa
kumi usiku akajipeleka kituo cha police. Kufika police akaongea na askari wa zamu (‘of course’ alimkatia
kitu kidogo) ili amuweke ndani kwa kosa la kuleta vurugu na kushambulia akiwa pub. Ikabidi police
ampigie simu my wife wa jamaa kumweleza yaliyomkuta mumewe na alimtaka afike kituoni saa moja asubuhi
kumwekea dhamana wakati wanasubiri kumpeleka mahakamani j3 (siku hiyo ilikua usiku wa kuamkia
jumamosi). Ikabidi wife wake akimbie haraka sana kwenda kituo cha police kuweka dhamana.
Basi my wife wake ni kumpa pole tu my husband wake kwa kwenda mbele, kesi yenyewe ‘fake’ ilishia
kwa askari wa zamu.

Tahadhari;

1. Usijaribu kufanya hivyo, maana unaweza ukaacha ‘loophole’ ambayo itatiliwa mashaka.

2. Ukikosea kwenye ndoa usitumie nguvu kurekebisha mambo, tumia busara na akili 'ku-solve'

3. Inawezakana my husband wako kweli kakamatwa na kulala lupango wewe ukafikiria ni masihala.
hata kama una mashaka lakini huna 'evidence' mezea tu ili kulinda amani na upendo.

Fundisho; Linda ndoa yako kwa gharama yoyote kwa manufaa ya watoto wako na wewe mwenyewe
 
Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,251
Points
1,225

Qualifier

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,251 1,225
Mkuu stori imenikumbusha mbali yaliyo mtokea jamaa ni kama ame copy na ku paste yaliyo nikuta. Ila mimi nilizima simu tokea tulipokua tuna ingia kunako room tayari kwa kuvunja amri ya 6 (kesho jumapili nitaungama) na tulipo amka saa 10 usiku sikujisumbua kutoka badala yake nikaendelea na kutenda dhambi tena sasa kwa kisirani, nilisimamia kama ninaendasha baiskeli vile, na kwa sababu ya hofu nilichelewa kushusha mzigo mpaka saa 12 . wakati ninaoga ndo akili ikanijia nikampitia rafiki yangu M nikampa somo akanisindikiza mpaka home kufika tukazuga eti majambazi walikodishwa waitoe roho yangu tukashtuliwa na raia wema ikabidi kunificha na simu kuzima maana wangetumia njama kunipigia . My wife wangu alilia na kunipa pole na kunipongeza kwa mbinu nilizotumia kujiokoa kumbe Mhhhhh!!!!! Acha wanawake watudanganye tu lakini sisi wanaume uongo wetu ni profesional, Mungu anisamehe na mama Q nisamehe my wife wangu....
 
badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,883
Points
1,500

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,883 1,500
Wew hii stori dizain km umecopy kwny movie flani hvi ,
but ni bora cheater anaefanya kila juhud kujificha,inapunguza strec
 
nkululeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
277
Points
0

nkululeko

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
277 0
Mkuu stori imenikumbusha mbali yaliyo mtokea jamaa ni kama ame copy na ku paste yaliyo nikuta. Ila mimi nilizima simu tokea tulipokua tuna ingia kunako room tayari kwa kuvunja amri ya 6 (kesho jumapili nitaungama) na tulipo amka saa 10 usiku sikujisumbua kutoka badala yake nikaendelea na kutenda dhambi tena sasa kwa kisirani, nilisimamia kama ninaendasha baiskeli vile, na kwa sababu ya hofu nilichelewa kushusha mzigo mpaka saa 12 . wakati ninaoga ndo akili ikanijia nikampitia rafiki yangu M nikampa somo akanisindikiza mpaka home kufika tukazuga eti majambazi walikodishwa waitoe roho yangu tukashtuliwa na raia wema ikabidi kunificha na simu kuzima maana wangetumia njama kunipigia . My wife wangu alilia na kunipa pole na kunipongeza kwa mbinu nilizotumia kujiokoa kumbe Mhhhhh!!!!! Acha wanawake watudanganye tu lakini sisi wanaume uongo wetu ni profesional, Mungu anisamehe na mama Q nisamehe my wife wangu....
Mh..kweli tunawavumilia...
 
Mimi ningekutukana usiku kucha kwa msg.na ungerudi lazima ningevunja simu,gari wala nisingekubali..story za majambazi
 
aqeeler

Member
Joined
Sep 28, 2013
Messages
51
Points
0

aqeeler

Member
Joined Sep 28, 2013
51 0
Mkuu stori imenikumbusha mbali yaliyo mtokea jamaa ni kama ame copy na ku paste yaliyo nikuta. Ila mimi nilizima simu tokea tulipokua tuna ingia kunako room tayari kwa kuvunja amri ya 6 (kesho jumapili nitaungama) na tulipo amka saa 10 usiku sikujisumbua kutoka badala yake nikaendelea na kutenda dhambi tena sasa kwa kisirani, nilisimamia kama ninaendasha baiskeli vile, na kwa sababu ya hofu nilichelewa kushusha mzigo mpaka saa 12 . wakati ninaoga ndo akili ikanijia nikampitia rafiki yangu M nikampa somo akanisindikiza mpaka home kufika tukazuga eti majambazi walikodishwa waitoe roho yangu tukashtuliwa na raia wema ikabidi kunificha na simu kuzima maana wangetumia njama kunipigia . My wife wangu alilia na kunipa pole na kunipongeza kwa mbinu nilizotumia kujiokoa kumbe Mhhhhh!!!!! Acha wanawake watudanganye tu lakini sisi wanaume uongo wetu ni profesional, Mungu anisamehe na mama Q nisamehe my wife wangu....
Vipi ungefanyiwa Wewe?
 
Forum statistics

Threads 1,391,020
Members 528,344
Posts 34,070,513
Top