Ushauri pleaseeeee....

Ushauri pleaseeeee....

BIA BORA

Senior Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
144
Reaction score
164
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.

USHAURI please coz yamenikuta
 
Unamshauri mnaamia kwenye hiyo nyumba alojenga alafu ile mliyojenga wote mnaipangisha - pesa zinazopatikana mnafanyia mambo mengine. Ila katika hili lazima uwe mtaalam wa kubembeleza - vinginevyo ndoa yaweza ishia hapo.
 
- Jaribu kutafuta source ya hela alizojengea
- Washirikishe wanandugu

Jitahidi kujua nia ilikuwa ni ipi na sasa ni ipi na anakoelekea ni kupi. Ukishajua hilo majibu utayata. Ila usikurupuke kulijua hilo hutapata uhalisia wake.

Mkuu sio kila ndugu au rafiki anafaa kushirikisha kitu. azingatie hilo sana. Ila kwa sasa naona kama atakuwa amewahi sana kwa maana nia ya mke yawezekana ni nzuri tu ila tatizo ni kutokumshirikisha mzee.

- Jaribu kutafuta source ya hela alizojengea
- Washirikishe wanandugu

Jitahidi kujua nia ilikuwa ni ipi na sasa ni ipi na anakoelekea ni kupi. Ukishajua hilo majibu utayata. Ila usikurupuke kulijua hilo hutapata uhalisia wake.

Thanks mkuu but hiyo nia ndo hata mie nimeshindwa kui ng'amua, na mpaka sasa hajanambia ujue, ni baada ya fundi langi wake mmoja kujichanganya na kuja kunidai malipo yao ndo nikashtuka, ikabidi ni lounch investigation ya nguvu, nikafika mpaka kwa iyo nyumba.
 
Unamshauri mnaamia kwenye hiyo nyumba alojenga alafu ile mliyojenga wote mnaipangisha - pesa zinazopatikana mnafanyia mambo mengine. Ila katika hili lazima uwe mtaalam wa kubembeleza - vinginevyo ndoa yaweza ishia hapo.

Mkuu hii kwangu naona kama ni breach of marriage conducts kubwa, kama kuambiwa sijaambiwa kuhamia humo si tuta uana.
 
nadhan cha msingi ni kufanya mpango muhamie uko alafu pangisha unayokaa basi!!! kama mmepanga basi zoezi linakua rahisi kabisa!!!
 
Thanks mkuu but hiyo nia ndo hata mie nimeshindwa kui ng'amua, na mpaka sasa hajanambia ujue, ni baada ya fundi langi wake mmoja kujichanganya na kuja kunidai malipo yao ndo nikashtuka, ikabidi ni lounch investigation ya nguvu, nikafika mpaka kwa iyo nyumba.

Mambo mengine naona huwa mnajichosha akili tu. Hivi ungejua kwamba documents za nyumba mlojenga wote kaziiba na usijue kaziiba kwa nia gani - si ndo hapo ungechizika?

Mwanamke kaona wewe akusaidie katika hilo. WAKIWEZESHWA WANAWEZA SANA. Hata ukijua zilipotoka pes, kama hajamwibia mtu utafanyaje? We unafanya kazi, naye pia anafanya kazi, mbona unapofanya mambo ya maendeleo bila kumwambia hakuchunguzi? Subiri hiyo surprise ya mwaka 2014.
 
Wala usiwaze mkuu,labda alitaka aku-surprise baada ya mjengo kukamilika!
 
Mkuu hii kwangu naona kama ni breach of marriage conducts kubwa, kama kuambiwa sijaambiwa kuhamia humo si tuta uana.

Una mgogoro wowote kwenye ndoa yenu?

Aliwahi kuhisi kwamba wewe una nyumba ndogo?

Je! anafanya kazi / mjasiliamali? au...

JIBU HAYO MASWALI TUJUE NINI TATIZO.
 
nadhan cha msingi ni kufanya mpango muhamie uko alafu pangisha unayokaa basi!!! kama mmepanga basi zoezi linakua rahisi kabisa!!!
mkuu sidhani kama nitakuwa comfortable kwa hiyo nyumba....pia sijajua kwa nini hajanambia hiyo project yake
 
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.

USHAURI please coz yamenikuta

Hiyo ni dalili mbaya,cha msingi fuatilia alipozipata pesa za kujengea hata km ni kwa nguvu zake ila sio sahihi kutokushirikisha cha msingi nawe jipange usije ukaachiwa zigo,Mwanamke sio ndugu yako ila ishi nae ukiwa macho.
 
Una mgogoro wowote kwenye ndoa yenu?

Aliwahi kuhisi kwamba wewe una nyumba ndogo?

Je! anafanya kazi / mjasiliamali? au...

JIBU HAYO MASWALI TUJUE NINI TATIZO.

Hatuna mgogoro wowote serious zaidi ya mambo madogo madogo tu ya kawaida kwenye ndoa

Hajawai nifuma na sidhani kama ananihisi kua namsaliti

Nimfanyakazi katika taasis ya serikali

hope nimejibu
 
Kumbe tatizo ni dogo sana; ni kutokukushirikisha katika hilo; ila ni dogo sana mkuu, usilichukulie kihivyo. Watumishi wa serikali wana marupurupu, mikopo n.k.
 
Bro hicho ni kitu kikubwa sana ubavu wako kukuficha, open it up uone reaction yake from there you will pick the right approach. Don't assume anything, inaweza kuwa sio yake pia etc etc
 
Kama una hasira kama mimi peleka your gun police until this is settled
 
Chunguza taratibu mkuu, usipanic kabisa,
Jitahidi asijue kuwa umejua siku si nyingi utapata ukweli.
 
Back
Top Bottom