ujumbe mzito

P

pilimichuma

Member
Joined
Apr 8, 2011
Messages
43
Likes
0
Points
0
Age
29
P

pilimichuma

Member
Joined Apr 8, 2011
43 0 0
ajua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya yote unayotaka. Ulipodai kuwa ukitumia kondom hujisikii raha sikuogopa kuibeba mimba ya tatu nilikuambia fanya unavyotaka.
Nilifanya haya nikiamini kuwa nalinda penzi langu kwako!!!

Naumia sana leo unaponiita mimi Malaya!!! Mjinga tena mshamba!!
Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku, huku jukumu la kukisafisha ukiniachia mimi, kweli nilikuwa mjinga sana kwa kukulilia hata pale ulipokuwa umenikosea waziwazi na nilikuwa mshamba kwa kuwa ni wewe uliyenifundisha kufanya mapenzi kwa kutumia kila kiungo cha mwili wangu.
Babaa si unajua nilianza uhusiano na wewe maziwa yangu yakiwa wima,sikuwa najua hata kubusiana kwa kukutanisha ndimi zetu mbona leo wanifukuza ukidai kuwa hunitaki kwa kuwa nina maziwa makubwa tena yamelala. Hukumbuki ni wewe uliyeyafanya hivi???
Unaniita mimi mchafu sasa unasahau kuwa ni wewe u mchafu zaidi yangu, au unasahau jinsi ulivyokuwa mchafu kupitiliza, uchafu wako ulitokana tamaa zako za kimwili tamaa zilizokufanya ulitake penzi langu hata nilipokuwa katika siku zangu!!!!! Hukuwa ukiuona uchafu huu ati leo waniita mchafu!!!
Wewe una usafi gani???

Babaa!!! Nakuandikia haya japo utayapuuzia lakini unaujua ukweli kuwa nilikupenda na wala sio kimakosa. Nilifanya yote uliyoyataka lakini hunilipi thamani yangu tena leo hii.
Unazuga kuwa u wa mjini sana!!! Unasahau kuwa ulikuwa unakosa hata pesa ya nauli nikawa nakupatia akiba yangu ya pesa za pedi nilizokuwa nimepewa na mama. Niliacha kulipa ada yangu nikakupatia pesa umnunulie mama yako dawa alipokuwa anaumwa, sijali sana hata kama ulinidanganya lakini nilifanya kwa mapenzi yangu kutoka moyoni.
Hivyo visichana vimekudanganyishia hayo mavazi yao kama viko uchi vile, macho yao ya wiziwizi yamekukamata unanisahau unasema ulipitiwa yaani ulinipenda kwa bahati mbaya.
Ulinipenda bahati mbaya???? Wakati ulikuwa unanililia, hivi kumbe machozi yako yalikuwa ya kunilaghai nashukuru umefanikiwa.
Lakini naomba nikwambie kitu kimoja babaangu, ulipoamua kujiingiza katika uhusiano na visichana vyako hivyo nilivumilia lakini siku nilipokufumania na yule rafiki yangu Jane mkifanya ngono makaburini niliumia sana, ni siku hiyo niliamua kujibu maombi ya yule rafiki yako Benard, siku hiyo nililala kwake, nilizini naye kwa hiari kwa lengo la kulipiza kisasi. Hakuna raha niliyoipata siku hiyo!!
Kisasi kile hakikuyatuliza maumivu yangu, bado ulikuwa una nafasi katika moyo wangu!!! Penzi lako halikuwa na mrithi baada ya siku mbili nilipata hamu ya kuwa na wewe nikaja kwako.
Tukafanya mapenzi bila hata kukukumbushia juu ya uchafu ulionifanyia.

Nadhani lilikuwa kosa kubwa, kama ninavyokuandikia wewe barua hii usiyoipenda na mimi Benard aliniandikia na yeye aliandikiwa na Jane akadhani ni utani kumbe ni kweli tupu. Jane ameathirika, amemwambukiza Bernard, Bernad kaniambukiza mimi halafu MIMI na JANE tumekuambukiza wewe.

Sikupenda iwe hivyo lakini na wewe sikulaumu!!! Hukujua matokeo ya ulilokuwa unanifanyia!!

Asante kwa kuisoma barua yangu, sina uhakika na maamuzi utakayochukua.

Kwaheri!!!

**JIHADHARI!! UKIMWI UPO NA UNAUA…

MLINDE NAYE AKULINDE!!!!
 
Kozo Okamoto

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Messages
3,391
Likes
337
Points
180
Kozo Okamoto

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2013
3,391 337 180

samahani,cjamalizia hata kusoma.hii ni mida ya lunch,ngoja kwanza nikale afu nitarudi baadae na koment nzuri
 
Luv

Luv

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
1,374
Likes
1,009
Points
280
Luv

Luv

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
1,374 1,009 280
Mungu wangu!!!!!!!
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
683
Likes
41
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
683 41 45
Jamani jamani watu wameshauana hapa doooh
 
WAKABAMBEE

WAKABAMBEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
610
Likes
170
Points
60
WAKABAMBEE

WAKABAMBEE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
610 170 60
mtandao wa ngono noma saana, dawa ni kujitoa tuu
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,840
Likes
5,771
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,840 5,771 280
jamani ndo maana kila siku watu wanafyatuana duh haya mapenz balaaa
 
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,462
Likes
36
Points
145
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,462 36 145
Hi ni hadithi ama shairi?? Sijaelewa nadhani
 
Zyamwelele

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
402
Likes
11
Points
35
Zyamwelele

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
402 11 35
ajua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya yote unayotaka. Ulipodai kuwa ukitumia kondom hujisikii raha sikuogopa kuibeba mimba ya tatu nilikuambia fanya unavyotaka.
Nilifanya haya nikiamini kuwa nalinda penzi langu kwako!!!

Naumia sana leo unaponiita mimi Malaya!!! Mjinga tena mshamba!!
Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku, huku jukumu la kukisafisha ukiniachia mimi, kweli nilikuwa mjinga sana kwa kukulilia hata pale ulipokuwa umenikosea waziwazi na nilikuwa mshamba kwa kuwa ni wewe uliyenifundisha kufanya mapenzi kwa kutumia kila kiungo cha mwili wangu.
Babaa si unajua nilianza uhusiano na wewe maziwa yangu yakiwa wima,sikuwa najua hata kubusiana kwa kukutanisha ndimi zetu mbona leo wanifukuza ukidai kuwa hunitaki kwa kuwa nina maziwa makubwa tena yamelala. Hukumbuki ni wewe uliyeyafanya hivi???
Unaniita mimi mchafu sasa unasahau kuwa ni wewe u mchafu zaidi yangu, au unasahau jinsi ulivyokuwa mchafu kupitiliza, uchafu wako ulitokana tamaa zako za kimwili tamaa zilizokufanya ulitake penzi langu hata nilipokuwa katika siku zangu!!!!! Hukuwa ukiuona uchafu huu ati leo waniita mchafu!!!
Wewe una usafi gani???

Babaa!!! Nakuandikia haya japo utayapuuzia lakini unaujua ukweli kuwa nilikupenda na wala sio kimakosa. Nilifanya yote uliyoyataka lakini hunilipi thamani yangu tena leo hii.
Unazuga kuwa u wa mjini sana!!! Unasahau kuwa ulikuwa unakosa hata pesa ya nauli nikawa nakupatia akiba yangu ya pesa za pedi nilizokuwa nimepewa na mama. Niliacha kulipa ada yangu nikakupatia pesa umnunulie mama yako dawa alipokuwa anaumwa, sijali sana hata kama ulinidanganya lakini nilifanya kwa mapenzi yangu kutoka moyoni.
Hivyo visichana vimekudanganyishia hayo mavazi yao kama viko uchi vile, macho yao ya wiziwizi yamekukamata unanisahau unasema ulipitiwa yaani ulinipenda kwa bahati mbaya.
Ulinipenda bahati mbaya???? Wakati ulikuwa unanililia, hivi kumbe machozi yako yalikuwa ya kunilaghai nashukuru umefanikiwa.
Lakini naomba nikwambie kitu kimoja babaangu, ulipoamua kujiingiza katika uhusiano na visichana vyako hivyo nilivumilia lakini siku nilipokufumania na yule rafiki yangu Jane mkifanya ngono makaburini niliumia sana, ni siku hiyo niliamua kujibu maombi ya yule rafiki yako Benard, siku hiyo nililala kwake, nilizini naye kwa hiari kwa lengo la kulipiza kisasi. Hakuna raha niliyoipata siku hiyo!!
Kisasi kile hakikuyatuliza maumivu yangu, bado ulikuwa una nafasi katika moyo wangu!!! Penzi lako halikuwa na mrithi baada ya siku mbili nilipata hamu ya kuwa na wewe nikaja kwako.
Tukafanya mapenzi bila hata kukukumbushia juu ya uchafu ulionifanyia.

Nadhani lilikuwa kosa kubwa, kama ninavyokuandikia wewe barua hii usiyoipenda na mimi Benard aliniandikia na yeye aliandikiwa na Jane akadhani ni utani kumbe ni kweli tupu. Jane ameathirika, amemwambukiza Bernard, Bernad kaniambukiza mimi halafu MIMI na JANE tumekuambukiza wewe.

Sikupenda iwe hivyo lakini na wewe sikulaumu!!! Hukujua matokeo ya ulilokuwa unanifanyia!!

Asante kwa kuisoma barua yangu, sina uhakika na maamuzi utakayochukua.

Kwaheri!!!

**JIHADHARI!! UKIMWI UPO NA UNAUA…

MLINDE NAYE AKULINDE!!!!
Uuwi!! Nafwa....!
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
836
Likes
7
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
836 7 35

kibaridi@hotmail.com usome na wewe
 
T

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Messages
1,226
Likes
8
Points
135
T

Tasia I

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2010
1,226 8 135
Hii kitu hii jamani!
 
deepsea

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Messages
3,257
Likes
226
Points
160
deepsea

deepsea

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2013
3,257 226 160
walikuwa wanatumia viungo vyote kungonoka hapa kalain ka smile yourself kalikamata mtandao
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,723
Likes
120
Points
145
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,723 120 145
Duh! Pole sana dada angu!
Mimi nimeelewa.
...
Kumpenda mtu hadi kupitiliza ni hatari sana, sana, sana zaidi sana!
...
Ningekushauri uwe makini wakati wa kuchagua/kumkubali mchumba!
But kuchagua mchumba akufaae ni task ngumu sana!
Hiyo imesababishwa na sisi wanaume kuwa na tabia tofauti tofauti ambazo ni ngumu sana kutambua kama hapa kweli napendwa!
Eg:
Wengine hujitolea hela nyingi sana ili kuhakikisha anakupata tu!
.
Wengine hujiweka karibu sana ili uamini tu kuwa unapendwa! Letu likitimia tu, tunasepa!
...
Mwisho wa siku ndoa/kupata mapenzi ya kweli ni BAHATI TU!
...
Lakini usife moyo!
Kila mtu anariziki zake, im sure ya kwako ipo! And i believe hautoitumia vibaya! Just wait!
Mwanaume anaekupenda kweli huja kwenu baada ya kipindi kichache sana!
Hata kama hana mpango wa kuoa karibuni!
...
Be cool!
Be strong!
Naamini anaekupenda haujamjua!
Just wait! Mapenzi hayafosiwi!
...
Mi nakutakia kila la heri.
 
Evarm

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,553
Likes
239
Points
160
Evarm

Evarm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,553 239 160
pilimichuma, pole kwa yote!!!
Mungu akutie nguvu, nahisi unajutia kwa hayo yote ila amini ya kuwa Mungu ni mwema bado yu nawe na anakupenda.

NB
Tubu dhambi zako, mtumaini Mungu tu utapata faraja na amani moyoni mwako.

Nakutakia kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
1,314
Likes
17
Points
135
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2012
1,314 17 135
mmmmhhhmm!!nyote mmeambulia ukimwi!!
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
16,278
Likes
15,511
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
16,278 15,511 280
Aisee mi ndo maana nasemaga ukipenda anza kuingia na mguu ila hata ukizama iwe rahisi kutoka,ila kichwa kikitangulia mapenzi yanaua..
Pole bi dada..it hurts kwa kweli
 
annito

annito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Messages
811
Likes
126
Points
60
annito

annito

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2013
811 126 60
madhara hayo,
mpk kutoa mimba!.
mpk kutumia kila kiungo kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume!!
mwisho huo mzunguko, uwiiii uwe na moyo mkuu binti na asante kwa warning
 
Forum statistics

Threads 1,273,439
Members 490,382
Posts 30,481,584