Kama mwanamke una haki ya kujivuna, kuringa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake

Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke
Utakuwa boss ofisini, afisa mkali jeshini, rais wa nchi jambazi sugu, mbabe wa vita lakini ukishawekwa kati huko faraghani hupumui, vyeo vyako vyoote si kitu mbele ya jinsia hii uwapo mtupu faraghani

Kila msanii anayetaka kuonekana amependeza,atasuka na kunyoa mitindo na kutoga masikio kaa mwanamke au atajipodoa kupita kujipodoa kwa kawaida kwa mwanaume, wanawake wanatawala jamani

Wanawake wana uvumilivu na ustahmilivu wa ajabu mno pote duniani, unamuolea mkemwenza anakasirika yanaisha, anakufumania unaomba msamaha yanaisha , hakika wanaume hawawazi sanasana utasikia paa paa paa keshauwa...!

Ni raha kuzaliwa mwanamke ana manouver yote ya kumfanya mwanaume afanye asichotaka kufanya

Kumbuka habari za Delila, Cleopatra ni wengine wengi ...Wanaume tumefeli au tumefaulu kwasababu ya wanawake na sikwa ujanja wetu tu
As a woman be proud to be created as a woman
 
amina halelujah!!
huo ndio ukweli ingawa
wataupinga ila habari ndio hyo!!
 
Jamaaaaani nasikia kaharufu ka malumbano kwa mbaaliiii kama kale ka miezi miwili iliyopiata mbona kaliisha vizuri? mimi mwenyewe nilikubali kuwa nani kama mama ? Bidada mmoja (jina kapuni) akajibu . Bila baba hakuna mama yakaisha tukajificha chini ya dari moja na tukajifunika shuka moja... leo haya yameanzeje jamani? Jana ninajivunia kuzaliwa mwanaume, leo mwanamke anahaki ya kujivuna. Haya banah mkianza ngumi mie simoooo!! Tutabaki kuwacheka mi na bidada tutakumbushia ya mwaka 47 !!!
 
tafuta mmoja mwaminifu bwana, upweke mbaya sana usiombe
 
Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake

Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke
Utakuwa boss ofisini, afisa mkali jeshini, rais wa nchi jambazi sugu, mbabe wa vita lakini ukishawekwa kati huko faraghani hupumui, vyeo vyako vyoote si kitu mbele ya jinsia hii uwapo mtupu faraghani

Kila msanii anayetaka kuonekana amependeza,atasuka na kunyoa mitindo na kutoga masikio kaa mwanamke au atajipodoa kupita kujipodoa kwa kawaida kwa mwanaume, wanawake wanatawala jamani

Wanawake wana uvumilivu na ustahmilivu wa ajabu mno pote duniani, unamuolea mkemwenza anakasirika yanaisha, anakufumania unaomba msamaha yanaisha , hakika wanaume hawawazi sanasana utasikia paa paa paa keshauwa...!

Ni raha kuzaliwa mwanamke ana manouver yote ya kumfanya mwanaume afanye asichotaka kufanya

Kumbuka habari za Delila, Cleopatra ni wengine wengi ...Wanaume tumefeli au tumefaulu kwasababu ya wanawake na sikwa ujanja wetu tu
As a woman be proud to be created as a woman

ni kweli mkuu,ndo maana juzi nimemshuhudia farkhina akiandamana huko visiwani kudai haki yake ya uongozi aliyonyanganywa na wanawake wa kitanga
 
Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake

Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke
Utakuwa boss ofisini, afisa mkali jeshini, rais wa nchi jambazi sugu, mbabe wa vita lakini ukishawekwa kati huko faraghani hupumui, vyeo vyako vyoote si kitu mbele ya jinsia hii uwapo mtupu faraghani

Kila msanii anayetaka kuonekana amependeza,atasuka na kunyoa mitindo na kutoga masikio kaa mwanamke au atajipodoa kupita kujipodoa kwa kawaida kwa mwanaume, wanawake wanatawala jamani

Wanawake wana uvumilivu na ustahmilivu wa ajabu mno pote duniani, unamuolea mkemwenza anakasirika yanaisha, anakufumania unaomba msamaha yanaisha , hakika wanaume hawawazi sanasana utasikia paa paa paa keshauwa...!

Ni raha kuzaliwa mwanamke ana manouver yote ya kumfanya mwanaume afanye asichotaka kufanya

Kumbuka habari za Delila, Cleopatra ni wengine wengi ...Wanaume tumefeli au tumefaulu kwasababu ya wanawake na sikwa ujanja wetu tu
As a woman be proud to be created as a woman

jana ulikua unatukuza uanaume leo naona umegeukia upande wa pili!
 
Jamaaaaani nasikia kaharufu ka malumbano kwa mbaaliiii kama kale ka miezi miwili iliyopiata mbona kaliisha vizuri? mimi mwenyewe nilikubali kuwa nani kama mama ? Bidada mmoja (jina kapuni) akajibu . Bila baba hakuna mama yakaisha tukajificha chini ya dari moja na tukajifunika shuka moja... leo haya yameanzeje jamani? Jana ninajivunia kuzaliwa mwanaume, leo mwanamke anahaki ya kujivuna. Haya banah mkianza ngumi mie simoooo!! Tutabaki kuwacheka mi na bidada tutakumbushia ya mwaka 47 !!!

Hahahaaaaa nialike Mkuu ucfaudu pekeyako, nisalimie bishostito
 
Back
Top Bottom