nmekua mpweke mno!

nmekua mpweke mno!

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
jaman nmekua mpweke mnö kwa mda mref xo naitaji mwenza wang wa kubadilishana nae mawazo,awe na umri kuanzia 18-23,sichagui rang wala kabila ila awe anaish dar!
 
Nani kakwambia ukilelewa kimaadili ndiyo sababu ya kuwa mpweke? We sema tu unataka mwenzi wako basi usisingizie maadili.
 
kipato chako kwa mwaka ni sh. ngapi?

Swadakta hapo umeshamaliza kila kitu,huyu lazima atakua choka mbaya ndo maana hata mtaani kwao anaishi lonely ,sasa kwa mademu wenyewe wa humu bora uweke kabisa mchanganuo anavuna bei gani kwa mwezi au siku na mali anazomiliki
 
Thank,bt hw u can help me?

Mimi nikusaidie tena.
We umekuja duniani peke yako just like most of us and you don't see us complaining we are lonely.
I mean for Godsake kuna over 6 billion people in this planet of ours but how can u be lonely?
 
Swadakta hapo umeshamaliza
kila kitu,huyu lazima atakua choka mbaya ndo maana hata mtaani kwao
anaishi lonely ,sasa kwa mademu wenyewe wa humu bora uweke kabisa
mchanganuo anavuna bei gani kwa mwezi au siku na mali
anazomiliki

nadhan amesahau kauli ya presidaa "ukitaka kula shurti nawe uliwe"
 
Be friendly and Mingle with th society,kazini,church,kwny matamasha n sports events,b close to ur family
jchanganye tu and get ur life interesting utampata tu mtu ,a real one,kulikoni huku online
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom