OMBA yakukute yote lakini sio hili

OMBA yakukute yote lakini sio hili

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Ni usiku, upo na mke wako mnarudi home unakutana na wahuni kama wanne wapo na mapanga na wewe hauna silaha yoyote ile halafu wana wanyang'anya simu pamoja na pesa then wanasema kaa pembeni ili wapige game na mke wako.

kama wewe ni mwanaume utafanya nini?
kama wewe ni mwanamke mme amekuacha utoe mchezo kwa hao wahuni utamchukuliaje??
 
Kwani wakipiga game wataondoka nayo cha msingi nitawaomba uwani wasiende. . Ila chozi jembamba litanitoka mke anauma jamani
 
mengine hayajadiliki sasa mpaka likukute bana
 
hapo maji yatakuwa yamezidi unga huwezi pika ugali tena, ila wakitaka wakule 0713 mwanaume hapo kazi itakuwepo
 
Hapo labda nife kwanza ndio wafanye huo upuuzi ila kama hawajaniua mzee itakuwa nguma...
 
je wakitaka wakule 0713 wewe utafanyeje
Kwani wakipiga game wataondoka nayo cha msingi nitawaomba uwani wasiende. . Ila chozi jembamba litanitoka mke anauma jamani
 
Kama kauwezo ka ''ka mguu wa kuku huna'' basi jua hata judo au kunfu au boxing, (kick) au mchezo mwingine wowote wa kujihami. aibu nyingine ni hatareeeeee
 
Mengine hayafikiriki mpaka yakukute ndio utajua la kufanya
 
Ni usiku, upo na mke wako mnarudi home unakutana na wahuni kama wanne wapo na mapanga na wewe hauna silaha yoyote ile halafu wana wanyang'anya simu pamoja na pesa then wanasema kaa pembeni ili wapige game na mke wako.

kama wewe ni mwanaume utafanya nini?
kama wewe ni mwanamke mme amekuacha utoe mchezo kwa hao wahuni utamchukuliaje??
...je kama ni wewe umeambiwa utoe 0713... ungefanyaje?
 
Naombea waje wafanye hivyo kwangu afu mtapata ripoti aisee..unazungumzia mapanga!? ambayo hadi uwe hatua mbili toka kwangu ndo unidhuru..! kha.. utajuta.
 
Back
Top Bottom