Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,211
- 1,185
Jamani kuna baadhi ya kina dada wanapenda maisha ya kuigiza sana kutwa nzima anaangalia tamthilia na kuvutiwa sana na maisha ya kwenye tamthilia hasa zile romantic issues lakini ukimwambia fanya kazi ili uishi maisha kama yale hataki utasikia jamani nampenda alejandro ana mapenzi ya kweli kwa mchumba wake......haelewi kama wale watu wanaigiza na wamefanya kazi ndio maana wanaishi maisha yale romantic.Dada zangu tusiathiriwe na zile romantic za kupeana apple,kuogelea kwa swimming pool yale maisha ya kuigiza tu sio kutwa kucheki romantic tukumbuke na sisi tuna maisha yetu jamani......ni ushauri tu jamani