Sio Kwa Wanawake Wote ila Baadhi Yao.

Sio Kwa Wanawake Wote ila Baadhi Yao.

Mpapatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
221
Reaction score
121
Habar za Mchna Bandugu... Kma Smart phne zote huwa na in-built application kma Music Players. Bas Kuna baadhi ya Wanawake wana in-built Selfishness kiac kwamba wanajiharibia wenyewe bila Kujua.
Kwa Mfano unakuta Mwanamke anaona tatizo lake yeye ni kubwa kuliko la Bwana ake, na anaishia ku dharau mambo yanayo waunganisha na kuimarisha penzi lao na nguvu zote zinahamia katka personal problemz.
Au Mfano mwengine: sisi tuliolelewa na mama zetu, kipind nasoma nakumbuka baba alikuwa akinipa sh. 100. Bas mama ananiuliza babako kakupa kiasi gan then anachukua 100 yangu ananirudishia 50. Na sio kwamba anaitunza bali ishakuwa Yake. Hako ni kakitu nimejionea wakuu.
 
Duh mama yako alikuwa kiboko. Mi namshukuru Mungu kwa kunipa mama bora.

Sasa arif matatizo ya mama yako unadhani yanaweza kuwa kwa wanawake wengine??

Nakushauri uwe unamstahi mama yako kwa kuacha kuanika mapungufu yake. Mama ni mama tu arif.
 
hii ni kwa kina mama wengi nakumbuka wakati mtoto anakuja mgeni anakupa hera kubwa mama anakwambia lete nikuwekee ujue hiyo imeenda
 
Mtu kama huyu kumshawishi kuwa wanawake sio wabinafsi utafanya kazi ya ziada kwa sababu kaona makucha ya mwakilishi mmoja mapema sana.
Ila mwisho wa siku mama ni mama
 
piga hesabu ya hamsini zako zote ukamdai hasira iishe juu yake.
 
mi nadhani ni malezi mazuri anakufundisha jinsi yakutumia pesa mie sijaona tatizo lolote
 
hii ni kwa kina mama wengi nakumbuka wakati mtoto anakuja mgeni anakupa hera kubwa mama anakwambia lete nikuwekee ujue hiyo imeenda

Kama ni hivi basi nafkiri tatizo litakuwa la baba haachi hela ya kutosha nyumbani
 
Pole yako

Wengine sie mama zetu hawako hivyo

Na amelea watoto chungumzima wa ndugu na jamaa

Na wote tulikuwa tunachukuliwa sawa na wengine
 
U have a very serious problem bro pamoja na kwamba watu wamekujibu kimzaha...u really need to have it sorted ASAP! La sivyo I pity the women who will cross your path...
 
Duh mama yako alikuwa kiboko. Mi namshukuru Mungu kwa kunipa mama bora.

Sasa arif matatizo ya mama yako unadhani yanaweza kuwa kwa wanawake wengine??

Nakushauri uwe unamstahi mama yako kwa kuacha kuanika mapungufu yake. Mama ni mama tu arif.

Mkuuu ulinielewa kweli? Nimetoaaa Mifano miwili we unadhani namdharilisha Mama Yangu? Hapana najarbu kuelezea a darkside ya hawa ndugu zetu
 
Jaribu kunielewa si kuumanishaaa Mama Yangu
 
hahahahahah
watu wengine wanakera eti...we unapiga hesabu ya vihamsa vyako unasahau kujumlisha, na kuzidishe kinjesi chako ulichompaka...agrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom