Had i know!!!!

Had i know!!!!

TATA PANYA

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
54
Reaction score
8
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda anayekupenda, ghafla yule dame anakujia tena na kuanza kukusumbua!! wakati wewe upo na manzi wako na anakuambia alijuaga unatania

UTAMJIBUJE HUYO MANZI!!!?
 
Unamwambia kweli ulikuwa unamtania,ila kwa uliyenaye uko serious akae mbali nanyi.
 
Unamwambia mimi ni panya naweza kuchimba shimo popote...
 
mwambie akae mbali na wew mkuu, ukimchekea mtu wa hvyo hakawii kumfuata hata huyo mke uliyenae na kuanza kuleta unafk wake.
 
dame...demu...manzi...duh! hizi a.k.a zetu noma sana!
 
ukiona hivyo ujue kapigwa chini na yule aliekua anamzuzua..
 
na wewe unakata tamaa mapema mno. Ultaka ukubaliwe kirahisi?
 
Ndio maana wanaume wengi wakiambiwa NO wanasikia YES kichwani.
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda anayekupenda, ghafla yule dame anakujia tena na kuanza kukusumbua!! wakati wewe upo na manzi wako na anakuambia alijuaga unatania

UTAMJIBUJE HUYO MANZI!!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom