nani anapajua?

2 pacha

Senior Member
Dec 15, 2013
136
43
jamani ndugu zangu samahan kwanza kwa kuweka mada hii katika upande huu wa madavdav lakini pia sio mbaya kwasababu kinachonifanya nipost hivi ni mapenz. jamani lengo ni nikuomba msaada hasa kwa wale watu wanaoishi mwanza,shida yangu ni kama kuna mtu yoyote humu anakaa mwanza maeneo ya nyegezi kata ya buhongwa kijiji cha nyanshishi nilikuwa au anapafahamu na labda kuna mtu ambaye ypo anakaa maeneo hyo nilikuwa naomba msaada wenu coz kuna ndugu yangu tumepotezana mda mrefu na nimeelekezwa anakaa maeneo hyo na ukicheki mi npo dar alf kingne nipo xkul so inakuwa ngumu kwenda mwenyewe, MSAADA WENU PLS NDUNGU ZANGU.
 
Ndugu yako anaitwa nani? Ili wadau wanaokaa sehemu tajwa wanaweza wakamfikisjia ujumbe,pia kuna kipindi Radio one cha kutafutana kila J4 ebu jaribu kuandika mail/barua watasoma barua yako unaweza kumpata huyo mtu.
 
kwa jinsi nilivyoelekezwa huyo mtu unaweza kumpata kwenye familia ya marehemu mzee Bakaza' na kunawatoto mapacha watano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom