Kipi zaidi hapo..??

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,648
12,251
Ndugu zangu hapa MMU hamjambo wote..?? Poleni kwa wale wagonjwa,na wale wenye UPEM(Ukosefu wa Pesa Mfukoni) halikadhalika waliofiwa na matatizo mengine,Mungu wetu ni mwema atatenda kadiri ya mapenzi yake.
Nimeulizwa swali na mdogo wangu wa kiume 20+yrs,ameniuliza hivi kati ya SAMAKI na CHUPI ni kitu gani kinavuliwa zaidi.??
Samahani unaweza kudhani ni swali la kitoto au lenye jibu rahisi bila kuchukua muda wa kufikiri kwa kina,jiulize unavua SAMAKI ili upate kitoweo na Tunavua CHUPI ili tujisaidie au tufanye mambo yako mengine ya kikubwa nk.
Daily watu wanavua SAMAKI halikadhalika na CHUPI pia,Je wewe unadhani kipi kinavuliwa zaidi.Watu wa Research mtusaidie kwa hilo..!!
Asanteni wote..!
 
^^
Majibu yatasaidia nini? Maana ktk research kuna significance of research
^^
Kujua kipi kinavuliwa zaidi,ikiwa ni Samaki basi itasaidia kujua pato za Mtanzania likakuwa kiasi gani,kwani samaki hao watakuwa wanauzwa kwenye masoko yetu,pia kujua namna ya kuhamasisha ufugaji wa Samaki ili wasije kutoweka kwa kuwa wanavuliwa sana kutoka kwenye vyanzo asili kama Mito,Maziwa,Bahari nk.
 
Back
Top Bottom