Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Kumekuwa na wingi wa waganga wa kienyeji na matangazo mengi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Nilisikia mzee mmoja akiuza dawa anasema vijana wa siku hizi hawana nguvu kabisa hivyo lazima watumie dawa,Mimi binafsi nilimwambia dawa wapewe wazee,Kijana bado ananguvu na kama kijana anaanza kutumia dawa sasa basi amekwisha kwani umri ukisogea ndio basi tena hata dawa zitashindwa itabidi achajiwe kwanza ndio afanyekazi teh teh.
Sasa tatizo ni nguvu au wanawake hawaridhiki? Kama ni nguvu kwanini tusitafute tatizo linalofanyazipungue na tutatue tatizo hilo?
Na kama wanawake hawaridhiki kwa nn tusitafute chanzo cha wao kuto kurudhika?