Hela ni nzuri lakini ........................ .!!

W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,685
Likes
35
Points
145
W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,685 35 145
WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,241
Likes
23,804
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,241 23,804 280
Hela ndiye mpenzi namba moja hapa duniani...

Mengine porojo tu aiseee
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
834
Likes
6
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
834 6 35
Mh!Sio kwa fungus wa leo hii,bila pesa?
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,147
Likes
5,606
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,147 5,606 280
Kuwa SAFE ni kitu kizuri pia...............sometimes MONEY is not everything
 
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
12,817
Likes
112
Points
0
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
12,817 112 0
Me nachokaga kusoma miherufi yote mikubwa..unatumia techno mkuu?
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,236
Likes
26,168
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,236 26,168 280
Mhh.....!!
Umeanza kutaja hela, mpenzi, muathirika, maisha.
Saunataka tuwe na mawazogani tofaiti na yako??
Ngoja waje watakaokuelewa
 
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,027
Likes
988
Points
280
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,027 988 280
Kweli hiyo
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,724
Likes
3,407
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,724 3,407 280
Mkuu point yako haswa ni nini?

WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,006
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,006 280
WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
ukiwa huna hela ndio huwa mnaongea hivi aisee...
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
246
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 246 0
WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
weka picha!
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
uko sawa kabisa ata uwenapesa kiasi gani kama umeathika na ukimwi hautaona faida yake.afya kwanza .mapenzi na pesa baadae...
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
uko sawa kabisa ata uwenapesa kiasi gani kama umeathirika na ukimwi hautaona faida yake.afya kwanza .mapenzi na pesa baadae...ukiwa na afya unatafuta pesa.ukiwa na pesa unatafuta mpz.....
 
Forum statistics

Threads 1,251,978
Members 481,948
Posts 29,792,094