Ni kweli hapa mjini msingi kiuno?

KALITHERMAL

Member
Aug 22, 2013
81
8
Wana mmu,

leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani).
Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?
 
kiswahili kigumu jamani,.

Hebu fafanua zaidi upate kueleweka mkuu!!
 
aaaaaargh!! I hate the songvfrom the bottom of my heart. By the way it is something you cannot listen with the elders in any context. hivi hakuna kitu kama film censorship humu nchini?? na hasa katika upande wa audio
 
haya ngalikihinja mjini msingi kiuno.secondary nyonga .na chuo kikuu jee???
 
Ila kwa nini watu wanaumiiiiia kuchapiwa? Kwani si kila mtu ana yake na matumizi yake hayana limit!
 
nachoweza kusema ni education is sexy!!!!
Hayo mengine tupa kule
 
Mnakataa nini, maofisini wengi tu wamepewa vyeo ht km elimu hakuna lkn sababu ya nyonga ma bosi uchwara wanawapa post. Kitaa mademu wangapi wamepsngishiwa, nunuliwa nyuma, magari, viwanja hata kusomeshwa sababu ya kiuno. Ndoa zinabomoka, zinaharakishwa na kufungwa sababu ya kiuno? Mifano ilo kibao tuu, bibie aliyeimba wanawake na maendeleo......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom