utani umenicost najuuta!!!

Allan Clement

Verified Member
Aug 14, 2013
1,906
2,000
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,280
2,000
Rudisha siku nyuma iwekama ulikua haujamtania,
Ukirudisha siku nyuma atakuwa bado hajakuchukia, pia siku zikrudi nyuma hautajilaumu.
 
MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,451
1,500
Huyo dada ana matatizo ama???
Na wewe huo utani uache sio vizur kucheza na hisia za mtu kwan wakat wa kutaniana hukuona kuwa yeye yuko seriously na akisemacho??
Btw unatakiwa umtimizie kile anachohitaji usilete utani na......za mtu
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,067
2,000
Utani hasa wa malavidavi ni m'baya sana...binafsi napenda sana jokes ila nilikoma.... unacheza na hisia za mtu, ukidhani ni utani tu kumbe mwenzako yupo serious!
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,238
2,000
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?
sijui nauli utalipiwa na nani tena, si unaona sasa utani unavyokugharimu!!!!
 
Allan Clement

Verified Member
Aug 14, 2013
1,906
2,000
Huyo dada ana matatizo ama???
Na wewe huo utani uache sio vizur kucheza na hisia za mtu kwan wakat wa kutaniana hukuona kuwa yeye yuko seriously na akisemacho??
Btw unatakiwa umtimizie kile anachohitaji usilete utani na......za mtu

mwanzoni nilijua utani ila dah!...kumtimizia ni ngumu maana sijawah kumcheat mchumba na sitarajii
 
Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
0
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?

mtoto anataka umpe haki yake wewe unazingua! Sasa unalalamika nini?Au kibungo?
 
Barasu

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,151
1,170
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?

mkubwa wewe, embu nenda kapige papuchi hiyo ujenge heshima!
 
Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
250
kwani urafiki ni lazima na huyo dada? chagua moja, kukata urafiki na huyo na uwe mwaminifu kwa mchumba wako, au endelea kumchekea na kumlea huyo na umsaliti mchumba. ila kumbuka. 'mshika mbili...'
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom