Tambua kuwa unapendwa

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
habarini Mabestitooooo

Hivi unafahamu kuwa unapendwa na Mungu na kwanini amekuweka hata sasa?

SASA TAMBUA KUWA UMEPENDWA NA MUNGU JIRINGIE KIVYAKOVYAKO

Utajuaje kuwa wewe ni wa thamani kuliko weingine wote na umewapita
Utajuaje kuwa hakuna wa mfanowe zaidi yako ambaye atachukua mlima wako
Utajuaje kuwa wewe u mrembo na umetunukiwa siri za mbinguni zaidi ya wote
Utajuaje kuwa kuwepo leo ni muujiza tena ni fahari kwako wangapi hawako leo?
Utajuaje kuwa sasa umebakiza wk kadhaa kuingia 2014 NI VYEMA UMSHUKURU
MUNGU


ILA KWANGU NI ZAIDI:


Utajuaje kuwa nimependelewa na Mungu na nafurahia vinono juu ya dunia hii?
Utajuaje kuwa nimetokelelezea kuwapa amanyafu balindwana bhosa mjengoni?
Utajuaje kuwa Mungu akikupendelea hakuna mwingine ambaye atakulima?

Basi napenda kufurahi leo na wale wanaojijua ni marafiki zangu wa ukweli mjengoni
humu kwani nimependelea na nakamua kivyangu vyangu bila hata kugombwa
waswahili wanasema raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa utasubiri mpaka utakamuka
Mzionapo chini ni baadhi ya picha zangu ambazo nilikuwa mkoani wk iliyopita msiba
ulionipata kwa wale ambao ni wepesi sana wasikete ila ni kuonesha vile mlivyonijali

Nawashukuru wote waliokuwa pamoja nami katika kipindi hichi kigumu ambacho
sikukitarajia kwangu kinitokee ila mapenzi ya Mungu yatimizwe kwani yeye alimpenda
zaidi yangu. Shukrani za kipekee zimwendee Jiwe Linaloishi, Paloma, Mtambuzi Young Master, nitonye charminglady, Passion Lady, Lady doctor walikuwa
karibu yangu yaani nikajiona kuwa nimpendelewa sana mie. Mungu wa Mbinguni
na Awabariki na wale wote waliionitumia comments kunifariji hapa jf Mbarikiwe sana
ila daddy watu8 alikuwa mbali sana.


oneni PICHA kidogo za kijijini kwetu muenjoy:

IMG0053B.jpg IMG0064A.jpg IMG0051A.jpg IMG0098A.jpg

hapa ndipo ni kijijini kwetu

hizi picha zingine ni kwenye msiba wa shangazi yangu samahani kwa
wale ambao ni wepesi kulia hapa nimeona niwaoneshe kidogo ilivyokuwa

IMG0014A.jpg IMG0014A.jpg IMG0039A.jpg


Wasalaam;

Ladyf


 

Attachments

  • IMG0038A.jpg
    File size
    32.6 KB
    Views
    282
Last edited by a moderator:

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,335
2,000
Pole sana bestito ladyfurahia
Nashukuru umerudi salama, na mambo yalienda salama!

Kijijini kwenu kutamuuu.............kuna kuku wa kienyeji?
 
Last edited by a moderator:

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
Best nashukuru sana kutamu kuku, bata, ng'ombe na hata mbuzi wako best
tumeneemeshwa sie karibu sana kijijini kwetu umemuona ladyf hapo chini?
Pole sana bestito ladyfurahia
Nashukuru umerudi salama, na mambo yalienda salama!

Kijijini kwenu kutamuuu.............kuna kuku wa kienyeji?
 

Preety

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
433
195
Oohhh pole sana shostito, Mungu akupe ujasiri na nguvu za kuendelea mbele! Na asante kwa ujumbe!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom