Hii siyo story ni ukweli na mda huu nipo na mmoja wa wahuska.
Kuna jamaa anaishi na mke ambaye hawajafunga ndoa lakini ni miaka 5 sasa na wana mtoto mmoja, kimsingi jamaa anavyodai wameishi kwa...
Habari ya asubuhi wanajamvi naomba yeyote mwenye uzoefu na suala la wadada wa kibongo kufanya kazi salon za kuchora hina huko Oman
naomba anifahamishe yanayotendeka huko.
so I'm a Christian and my belief is to
not have sex before marriage, but
i'm 22, never had a bf, and having a
strong desire to have sex and it's
getting worse, to the point that i
want to get...
oooh what a Gift now and then!!
i remember last year these dates i was not even aware that 2013 i could wake up plan for a marriage and lastly being blessed with a beby!!Guess what happened in...
Natumaini tumemaliza sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa yesu salama.
Sasa me naomba kujuzwa.kipi kinamfanya mwanamke/mwanaume kuridhika ktk mapenzi.
Mimi binafsi nimeona mwanamme yeye kufika...
Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti...
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu...
Natumai nyote mu wazima buheri wa afya...
nahtaj ushaur wenu wana jamvi,nimekuwa kwenye mahusiano yenye furaha na mapenz tele,mpenz wangu si mtanzania ni mzalwa wa kenya na kaz yake ni rubani...
Wanabodi Wasalaam Aleyikum!
Natumaini nyote mu wazima na Afya mujaraab kabisa tayari kuusubiri mwaka mpya baada ya kipute kizito cha Sikukuu ya Noeli.
Leo bana nisiwachoshe sana ila nilikuwa na...
Ndugu zangu wana jamvi kutokana na utafiti wangu nilio ufanya zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazo fanya wanaume hasa vijana kununua machangudoa:
1,kuepuka gharama za kila siku au mara kwa mara...
wadau happy holidays..it's official,iam going public by beginning to use my own pic as an avatar.this is how my ID appears now.kuweni na mwaka mpya mwema wenye kheri na fanaka,ONE.
Wadau nimeamua kuachana na mapenzi ili kuinusuru roho yangu.kuna jirani yangu mmoja alikuja kwangu asubuhi kwa vile nilikuwa na mazoea nae nikamkaribisha mpaka ndani but nilishangaa kuja kwangu...
nna miaka 28 natafuta mpenz wa kike mweny miaka 24 had 27,ili 2pange maisha,mi bado mwanafunz wa chuo kikuu npo mtwara kwa sasa ila ni mwenyeji wa mkoa wa iringa.!namba yang ya sim ni 0788225445...
Habari yako!
Natumaini Xmas ilikuwa nzuri kwako, na natumaini fika mwaka mpya tutafika salama na kwa afya njema.
Mimi ni kijana ninayeishi nje ya nchi, na natafuta rafiki wa kike ili tuwe na...
Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo...
Happy holiday guys....
First Scenario....
Huyu mkaka alihamia Dar akitokea mkoani (Sitaki maswali mkoani ndo wapi tafadhali, cha muhimu unaelewa) alipofika Dar akatafuta mpenzi kama kawaida...
√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.