Nahtaji ushauri

Nahtaji ushauri

Shonnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
200
Reaction score
55
Natumai nyote mu wazima buheri wa afya...
nahtaj ushaur wenu wana jamvi,nimekuwa kwenye mahusiano yenye furaha na mapenz tele,mpenz wangu si mtanzania ni mzalwa wa kenya na kaz yake ni rubani hvyo humfanya asafr mara kwa mara hata mwez mzma anawez kuwa safarin mwez uliopta kabla hajasafr amenpa kias kikubwa sana cha pesa ameniambia ntafte nyumb y kununua kwa ajl y kuish tatz linakuja ana dada yke ambye anasma hapa bongo na nimekuwa nikimsupport sana na huwa anaish kwangu akiwa na likzo fupi,baada ya dada mtu kugundua kaka yke amenpa hela y kununua nyumba ameanza kupka majungu kwa mama yke eti mimi nimemloga kaka yao ndo mana ananpa hela had ya nyumba,jambo hli limenkera sana nataka nirudshe pesa nlizopewa ila naogpa kumweleza mpenz wangu ukwel ncje nkawagmbnsha ndugu bdo cku 3 mpenz wangu arud ntafanyaje na nyumb cjanunua!ntamueleza nn?mama mtu naye ameanza kunpga biti niachane na mwanaye
 
Mweleze mpenzio ukweli kabla mambo hayajaharibika
 
We nenda kanunue maisha ni wewe na mwenzio hao wengine wajambia pembeni..kama mama imemuudhi kwa nini asimwite mwanaye akamwambia????
 
Mapenzi ni ya wawili,kama kweli unampenda jamaa hata upigiwe tarumbeta za mipasho hauwezi kuzisikia..
 
kanunue nyumba wewe sikiliza majungu utashindwa hata kula kabisa
 
Mahusiano ni yenu wawili c vizuri kushirikisha ndugu, kikubwa ni msimamo wako na mwenzio.na umweleze kila kitu usimfiche.

Mshirikishe Mungu kujua kama kweli ndo mume alikuchagulia. Kama ni yeye kweli you have to stand by him no matter hao nduguze wanakufikiria vibaya
 
Back
Top Bottom