Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Luali

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
101
Reaction score
11
Habari yako!

Natumaini Xmas ilikuwa nzuri kwako, na natumaini fika mwaka mpya tutafika salama na kwa afya njema.

Mimi ni kijana ninayeishi nje ya nchi, na natafuta rafiki wa kike ili tuwe na urafiki wa kawaida, wa kuelewana, kushauriana na kusikilizana katika mambo mbali mbali ya kimaisha.

Nina miaka 33 sasa, na ni Mtanzania halisi, ila naishi nje ya nchi kwa sasa.

Ningependa kupata rafiki anayejielewa, mwenye hekima zake, elimu, heshima na muelewa katika mambo mbali mbali ya kidunia na utu, na nitafurahi kupata mtu mwenye kazi yake ama biashara yake aidha ya yote hata mwanafunzi wa chuo haina shaka.

Shukran.
 
I was longing to meet with a guy like you! PM me my darling! teh
 
Hahaha mkuu umeona uweke nje ya nchi ndo utawapata haraka..ila hilo nalo linaweza kuwa kosa kwa sababu huko uliko wanajua hamna M.pesa...
 
Hahaha mkuu umeona uweke nje ya nchi ndo utawapata haraka..ila hilo nalo linaweza kuwa kosa kwa sababu huko uliko wanajua hamna M.pesa...

Hapana, kuwa nje ya nchi si sababu ya kuwapata ama kutowapata, nadhani rafiki nimtafutaye atakuwa na hekima zake kama kigezo muhimu.
 
unajua hata Iraq nako ni nje ya nchi!?

hebu sema uko wapi bana wadada waangalie usalama wa roho zao!

Sasa hapo unanyanyapaa haki za binadamu, kwa maana usihukumu kiumbe kwa mahala kilichopo bali kwa maamuzi ama tabia kionyeshayo kwake na kwa jamii. Siko Iraq....
 
kwani huko ulipo hakuna wasichana au ndo uso wa mbuzi hahaha kila la kheri waweza pata
 
Back
Top Bottom