Kuridhika ktk mapenzi

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
0
Natumaini tumemaliza sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa yesu salama.

Sasa me naomba kujuzwa.kipi kinamfanya mwanamke/mwanaume kuridhika ktk mapenzi.
Mimi binafsi nimeona mwanamme yeye kufika kwake kileleni ndio kuridhika kwake na pindi afikapo wale atakikujitesa anapumzika na kusubiri tena mpini ukae sawa aanze tena na wengi wanaviwango vyao vikifika kama ni goli 1,2 ,3 au zaidi yy ndio basi shughuli imekwisha.

Kwa wanawake naona wanashida sana wao kufika kileleni.hii yote ni kutokana na maumbile yao.Lakini wapo ambao wanaweza wasifike kileleni bt still wakawa wanafurahia mapenzi na anakuwa na furaha pale mwanaume anayeshiriki nae tendo anavyoridhika.

Naomba kujuzwa zaidi kutokana na utaalamu wenu wadau.
 

Dr.Mo

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
3,810
1,225
mada ngumu sana...ila hamna kitu kibaya km kushindwa kumridhisha mwanamke kimapenzi
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,328
2,000
Michango mingine katika huu uzi!!!!! lol!!!!

 
Last edited by a moderator:

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Aliekwambia nani kama mwanamme akipiga bao ndio kafika kileleni?....

Mwanamke yeyote anaweza kumfanya mwanamme apige bao ....sio kila mwanamke anaweza mfikisha mwanaume....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom