Anataka kuoa CHANGUDOA, ni CHANGAMOTO zipi atakumbana nazo katika Maisha yake ya NDOA?

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu mwanamke lakini jamaa ammeshikilia msimamo wake wa kutaka kumuoa. Je, ni changamoto zipi atakumbana nazo ktk maisha yake ya ndoa na huyo CHANGUDOA?
 
life is Short

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
4,741
2,000
Si Ajabu !! akabadilika na kurekebisha maadili yake..... Ya mungu ni mengi kulikoni !! Wangapi walikuwa watiifu mara tu wakapotezea na kuchafuwa hewa ? na wapo wengi hubadili hulka zao na kuwa watiifu na wema katika maisha ya ndoa.!!
Hayo hapo katika mikono yetu au yao!!
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,468
2,000
hamna changamoyo yoyote maana yeye kashakubali kiwa vidume wengine watakuwa wanamgegeda demu wake...so infact atakuwa na ndoa nzuri tuu....mbinde kwa sie tunaotaka mke wa kwetu peke yetu
 
LOMP

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
215
0
ajipange kusalitiwa dakika yeyote ile maana ameshazoea kukutana na midume mingi hivyo hawez vumilia 1. my view
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,672
2,000
Anaweza akabadilika hadi mkamshangaa. Siyo wote wanapenda kujiuza wengine ni maisha tu. Soma sahihi yangu hapa chini.
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,152
2,000
Na alaaniwe mwanaume aliyezaliwa na mwanamke ambaye amebalehe na kuota ndevu hadi sehemu not reachable ambaye hajui kwamba mkabala na whom u call Changudoa yupo mwanaume alisababisha bi dada huyu apate nishani hiyo...Mimi niwatakie maisha mema tu!
 
Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
195
Hana changamoto zozote zile. Ila atapumzika vizuri maana huyo mwanamke hakuna kipya cha kumchanganya maana yuko qualified.ilimradi wamepatana.Angalizo:kama huyo mwanamke anafanya ukahaba kama hobby hapo kidogo ni shida maana hataacha.ni kama ukimuoa mlevi hawezi kuacha pombe.inabidi ajue hilo.otherwise kila mwanamke ambaye hukumkuta na bikira alikuwa anagegedwa.na kama alikuwa anasoma cbe / ifm/ Dsa. Etc basi alikuwa kahaba.ila inawezekana ni kwa ajili ya kujikimu tu.
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674

Umeanza vizuri mwisho ukamaliza na pumba...sasa hivyo vyuo vimehusianaje...au ndo kumaanisha waliosoma nje ndo hawawezi kuwa makahaba...?! Hapo sio..... Ukahaba ni hulka ya mtu,na mwingine atafanya sababu ya shida ila hivyo vyuo ulivyotaja hapo havifundishi ukahaba!!
 
Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
195
Hana changamoto zozote zile. Ila atapumzika vizuri maana huyo mwanamke hakuna kipya cha kumchanganya maana yuko qualified.ilimradi wamepatana.Angalizo:kama huyo mwanamke anafanya ukahaba kama hobby hapo kidogo ni shida maana hataacha.ni kama ukimuoa mlevi hawezi kuacha pombe.inabidi ajue hilo.otherwise kila mwanamke ambaye hukumkuta na bikira alikuwa anagegedwa.na kama alikuwa anasoma cbe / ifm/ Dsa. Etc basi alikuwa kahaba.ila inawezekana ni kwa ajili ya kujikimu tu.
 
tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,635
0
Changudoa ni mwanamke kama mwngine yoyote sioni tatizo hapo,,,,,,,
Tofauti yake ni kusimama barabarani tu but changudoa wastaarabu wako wengi sana.
 
paul david

Member
Nov 26, 2013
12
0
Anabadilika tu kama kweli ameamua kuolewa lakin kama anataka tu kuondoa mkosi jamaa ajiandae kugongewa kila cku
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
that means amekaa na huyo dada na wameelewana!

sasa ushauri tena wa nini?

ila kama analazimisha ndoa na dada poa, hapo ndio pabaya!
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Changudoa ni mwanamke kama mwngine yoyote sioni tatizo hapo,,,,,,,
Tofauti yake ni kusimama barabarani tu but changudoa wastaarabu wako wengi sana.

hali waliyonayo wale ni sababu ya maisha tu!

ila most of them huwa wanatulia sana endapo wakipata mwanaume perfect!

but, dont cheat these kind of ladies!!!

wakiamua na wao ku-cheat, itakuwa unstoppable phenomenon!
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu mwanamke lakini jamaa ammeshikilia msimamo wake wa kutaka kumuoa. Je, ni changamoto zipi atakumbana nazo ktk maisha yake ya ndoa na huyo CHANGUDOA?

mwache kwanza amuoe,atakuja kutueleza changamoto yeye mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom