Hii mbaya zaidi kwenye vigodoro

Ng'egera

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
767
500
Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo kuwaiga na kuleta tafrani katika mitaa na watoto hao wasiojua kitu kuadhibiwa na wazazi wao
 
LexAid

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,936
1,195
Kijana, Kilevi cha Unusaji wa petroli sio kizuri kabisaa. Ubongo wako utakua umebaki 4%tu kwasasa.

cc Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,006
2,000
NI disko linawekwa mitaani ili watu wakeshe kwenye sherehe mbalimbali humu mitaani naona umenipata kama kwenu hakuna poa.

ameni uswahilini nenda pembezoni mwa miji - kwetu Nyamhongoro hakuna kitu kama hicho; makelele tunaachana nayo tukishavuka St. Mary's school
 
kibella24

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
677
195
Nenda serikali ya mtaa ukashtaki kama hawapo nenda polisi. sisi hatuna chakukusaidia.
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,138
2,000
Labda akaishi sayari nyingine hata anapopasema watu watajaa na kuanza mambo hayo ya vigodoro
ameni uswahilini nenda pembezoni mwa miji - kwetu Nyamhongoro hakuna kitu kama hicho; makelele tunaachana nayo tukishavuka St. Mary's school
 
Ng'egera

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
767
500
ameni uswahilini nenda pembezoni mwa miji - kwetu Nyamhongoro hakuna kitu kama hicho; makelele tunaachana nayo tukishavuka St. Mary's school

Hayo ndiyo mambo ya mtandao kila m2 anakaa uzunguni mambo safi
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,929
2,000
akikujibu nieleweshe na mimi tafadhali

Ni miziki ya kudumisha mila lkn huwa inakuwa taarabu au hiyo michiriku.Inapigwa usiku kucha na wengine hata wiki.Huwa wanafanya katika sherehe za kuwafunda/ kuwatoa watoto ndani wanaoingia usichana au kubalehe.Wazaramo na watu wa lindi nadhani wamakonde ndio mila zao
 
TCleverly

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,923
0
Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo kuwaiga na kuleta tafrani katika mitaa na watoto hao wasiojua kitu kuadhibiwa na wazazi wao

vigodoro ndio nini nasikia sana hili neno??
 
Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,943
1,500
....juzi nilisikia moja dj anatangaza "kama huwezi kumnunulia bia usimguse",nikatamanai kujua ni nani..? my gooosh..! kumbe yupo binti katikati ya watu ukimnunulia bia anafanya unachotaka mbele ya watu...!hadi kuanika sirini...dunia imelewa kupita kiasi jamani loh...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom