Naitaji kuoa je nioe mke wa aina gani ambaye ni mvumilivu na je kabila gani wanauvumilivu kwenye ndoa umri wangu miaka 25
Nakushauri usioe kwa kuwa bado hujawa tayari.
Nakushauri usioe kwa kuwa bado hujawa tayari.
Kuoa unatafuta ushauri hapa jf! kawaulize wazazi wako vijana wa siku hizi hamnazo
Naitaji kuoa je nioe mke wa aina gani ambaye ni mvumilivu na je kabila gani wanauvumilivu kwenye ndoa umri wangu miaka 25
Wapare wanatahiri hawana visimbusi...USIOE
Wanyamwezi kwa limbwata mmmmh.....USIOE
Wahehe kwa hasira mmmmh....USIOE
Wakinga kwa ushirikina......USIOE
Wahaya kwa kugawa uroda.......USIOE
Wanyakyusa kama maharage ya Mbeya.......USIOE
Wazaramo kwa mdomo.....USIOE
Wazigua kwa zongo.....USIOE
Wamasai kama wapare no king'amuzi......USIOE
OA mchaga lakini asiwe mmachame au mkibosho au mmarangu. njoo Rombo
binti wa kimachame
A very good answer...
Usimkaripie hata sisi ni wazazi wake.