Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Men Inasemekana ni hulka, hata umpe nini, atakucheat. Women Inasemekana wengi wao ni kutoridhika na aliye naye na tamaa ya pesa/mali. Wewe unadhani sababu za msingi ni nini?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiona wanawake wenye matiti makubwa je wanamvuto kwenye mapenzi je watu wao ulidhika na hali waliyo nayo?
1 Reactions
87 Replies
65K Views
Fikiria Mazingira yafuatayo: Umekuwa kwenye uchumba na mdada kwa muda wa miaka mitatu. Katika muda wote huo wa uchumba wenu, mpenzi wako amekuwa akikuambia kwamba yeye ni bikira na hayupo tayari...
1 Reactions
66 Replies
16K Views
Mara moja moja ninapopata muda, nimekuwa nikiangalia kipindi cha Cheaters kinachorushwa kupitia DSTV. Maelezo kuhusu kipindi hiki pia yanapatikana kwenye hizi links. Cheaters | REAL Reality TV...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni maneno kutoka kwa Mwavita, msichana niliyemfahamu kupitia na rafiki yake Fet ambaye ni girl frind wangu. Nilimjibu nipo kazini,habari za siku niliendelea kumjulia khali? Ni nzuri tu sisi huku...
1 Reactions
0 Replies
967 Views
Yani watoto wa kizazi cha Jk, akipata chalenji ndogo ya mahusiano, inakimbilia social network, kuomba msaada, anachukua ushauri anautekeleza ka alivyoambiwa. Mwenzi wake pia atastuka nae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wishing al mmu fans a happy new year,lets join hands an come up with more meanful threads in 2014
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf naomba nitoe umuhimu wa nafasi ya kuzaliwa ktk tabia na mahusiano katika jamii.kwa leo nitaeleza kwa upande wa mzaliwa wa kwanza. Tabia zake: Anajiamini sana, anatoa amri/command,anataka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimekuwa najiuliza sana kwa muda mrefu, why wanawake wengi bado hawajiamini, hata hao wanaosoma,huko mavyuoni hawaamini kama wanaweza kusimama wenyewe, they cant do anything without men's help...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Siku moja kulikuwa na mkutano wa kijiji, mwenyekiti (jina limehifaziwa) alipata dharula kidogo akawa amechelewa kufika wakati wananchi wanamsubibi akahutubie yaliyojiri kama kiongozi! Kutokana na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Juzi nikiwa safarini nilisimamishwa na trafik police mmoja wa kike, kwanza wkt namkaribia nilishtushwa kwa jinsi alivyokatika(shepu) Baada ya mm kusimama kakanifata mpk pale, ukikatazama ni...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Hupenda kujitegemea,ni mchapa kazi na hajishughulisha sana na attention ya wazazi maana anaamini attention yake iko kwa mzaliwa wa kwanza, hupenda sana kupendwa, akioa/kuolewa na mzaliwa wa kwanza...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Yametokea mauwaji ya kutisha ktk Kijiji cha Migoli ktk wilaya ya Iringa vijijini,mauwaji hayo yametokana na wivu wa Kimapenzi. Akiongea na Radio Ebony Fm ya mkoani Iringa,Mwenyekiti wa kijiji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A woman and her husband, living in Europe, the doctor told her to use an expensive drug to save her life. The pharmacist who also invented that medicine charged ten times the cost of making the...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni kijana ambae kwa sasa nina miaka 31, nimekuwa na mpenzi wangu ambae tumekuwa na uhusiano kwa takriban miaka 5. Kwa kuwa nilimtangulia chuo mwaka mmoja tulipanga mpaka apate kazi ndio...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hi! Namaanisha wanawake wanene kiasi na siyo wale wenye Obesity.Utafiti unaonyesha wanaume wengi wa kiafrika tunawapenda miss Bantu kuliko vimbaumbau yaani wale wanaojikondesha ili wawe na...
2 Reactions
281 Replies
141K Views
habari zenu wana mmu... kuna jambo moja huwa najiuliza sana, jibu ninalopata huwa limelalia upande mmoja tu, wanaume hupendelea kupata wanawake wanaowazidi urefu.. na wanawake hufurahia hilo kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jamvi, heri ya sikukuu ya noeli. Naomba mwenye kujua sehemu iliyotulia na yenye kama kimsitu cha asili ambapo mtu anaweza kwenda kupumzika kwa hapa mwanza. Mfano kwa arusha kuna sehemu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna mdada nilikua napiga nae stori aka niambia kua wanawake wengi weupe wana nyodo,pozi kwa sanaa na ukioa white skined gel jiandae kutongozewa kama sio kumegewa kwa vile wanaume wengi wanapenda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
Wadau wa jukwaa pendwa la MMU! 1.Mwanamke mweusi VS Mwanamke mweupe 2.Mwanamme mweusi VS Mwanamme mweupe 3.Mwanamke mfupi VS Mwanamke mrefu 4.Mwanamme mnene VS Mwanamme mwembamba Naamini mambo...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom