Kuwa na mke mwana siasa yataka moyo....

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,544
2,000
Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,una angalia tv una muona wife mjengoni kaka pembeni ya "naibu katibu mkuu" kiroho kinadundaaa daaah,bunge linaisha unavuta pumzi mama anarudi nyumban, mara ziara ya katibu mkuu au mwenyekiti wa chama jimboni kwa mkeo ohoo, baada ya siku mbili kikao cha NEC dodomaaa....kama unajifanya una mapenzi ya dhati unaweza kufa mapemaaa kwa presha ila kama una lenga kutanua kitaa na ma V8 basi kua mpole tu.....

R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,234
2,000
kaka ww ni baba wa nyumban waweza zurura nae tu sio ishu. huon mama salma anavyozurura na mkulu wa kaya.
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,348
2,000
Maisha ni kuchagua, kama ww huwezi wenzio wanaeza, tena wapo wanaopenda kuwa huru kila mtu na time zake so, inakuwa vzr zaidi wakipata mtu wa dizaini hii
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,779
2,000
Ndio maana unapaswa kuwa na mwenza wa kufanana nae. Ukiwa mburula oa mburula mwenzio. Ukijiingiza kwa mwenye akili zake utajitia stress tu
 
mwahaja

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
387
225
Et mara kikao cha NEC hahaaahaaaaaaaaaa! NEC nn? ndo tunakamilisha usajili wa mkopo wa zzk aende kwny hiyo NEC then tutamrudisha.
 
MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,789
2,000
Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,una angalia tv una muona wife mjengoni kaka pembeni ya "naibu katibu mkuu" kiroho kinadundaaa daaah,bunge linaisha unavuta pumzi mama anarudi nyumban, mara ziara ya katibu mkuu au mwenyekiti wa chama jimboni kwa mkeo ohoo, baada ya siku mbili kikao cha NEC dodomaaa....kama unajifanya una mapenzi ya dhati unaweza kufa mapemaaa kwa presha ila kama una lenga kutanua kitaa na ma V8 basi kua mpole tu.....

R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia

Mkuu Chinga One mchokozi sana wewe. Mifano yooote umeona hapo kwenye red ndo panafaa?
 
Last edited by a moderator:

fadhil genius

Member
Nov 18, 2013
39
0
Maisha ni kuchagua, kama ww huwezi wenzio wanaeza, tena wapo wanaopenda kuwa huru kila mtu na time zake so, inakuwa vzr zaidi wakipata mtu wa dizaini hii

Yap... inaweza kua ni bora mwanasiasa cz kazi ya mtu sio tabia ya mtu... sasa ww mwenzangu na mimi unaweza kumwacha nyumbani akadandiwa na wauza magenge...
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
akishatoka America ( New York) na kupitia Dubai kwa kazi maalumu siku upo unaangalia bunge unaona mke wako mbunge wa kuteuliwa kapata skendo ya kutembea na mwenyekiti wa chama.

inauma sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom