Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
You know the drill ladies. Its your time to GIVE IT BACK. Every 14th of February you get the chance to display your fondness for a significant other by showering her with gifts, flowers...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi ni mtu mzima kwa sasa na nimeishi na mke wangu yapata miaka 12 ya ndoa sasa. Ninampenda sana na ninaishi naye vyema pamoja na wanetu wawili; wa kike na wa kiume. Nimekuwa nikisikia matatizo...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
http://youtu.be/bzKi-yZ7aR0
4 Reactions
19 Replies
2K Views
zamani, sio hata mbali wanaume ndio walikuwa ndio wanaongoza kwa kusaliti wachumba na wake zao.siku hizi naona hali inabadilika na si muda hawa dada zetu watatupita kwa kucheat. kuna jamaa...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
wasalaaam,, kwa wale ambao wamefatilia mrejesho wangu wa nahisi naibiwa,,watakumbuka baada ya mshike mshike nlimsamehe bi dada na kuendelea nae na mahusiano! ila kiukwel sijawah kumuamin tena...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hilo ni swali ambalo nimekuwa nikihoji kila siku kwa mpendwa wangu! Kiufupi iko hivi, wikendi ilopita, tulikuwa tumetoka na mpendwa wangu tukaenda zetu bich flani hapa Dsm kutembea kidogo...
1 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari wakuu!! Naona mwaka huu unataka kuwa wa majanga kwangu Nimepata ujauzito ila mwanaume mwenyewe simsomi mahusiano yetu yapo yapo tu ilimrad.. Hapa nilipo nawaza mpk kichwa kinataka...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Habari ya asubuhi wanajamii ya humu kwetu,kama ilivyo desturi yetu kushirikishana ili kudumisha mahusiano yetu karibu ushiriki mawazo yako ni ya msingi sana Nanukuu...................... "Imekuwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wan MMU nimekuwa katika uhusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda sasa ninamtimizia kila kitu lakini bado analalamika simjali kama ni upendo namwonyesha upendo wa dhati...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wazazi/walezi wako wamekusomesha hatimaye umehitimu shahada yako ya kwanza au hata masters. Wamekutafutia kazi nzuri, salary scale yako imenenepa! Kwasababu ndio kwanza unaanza maisha bado...
17 Reactions
73 Replies
6K Views
Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jamvi...kuna siku niliwah kupost kuhusu kuwa na jamaa ambaye nlmpenda lakin yeye hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu.Leo nmekuja kwenu kuwashuhudia kuwa wapo wanaume wenye mapenzi ya...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina. Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia. Sasa baadae...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
wana jamvi mimi ni kijana nina 27 yrs, tatizo langu ni kwamba nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana saana!! Mpenzi wangu huyu nilikutana naye kipindi nikiwa nahitimu chuo mwaka 2011...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka. Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani...
15 Reactions
176 Replies
16K Views
Aaaagh... Hadi usiku unakuwa mrefu sana! Hadi nasahau kuwasalimia wakubwa wenzangu, wana MMU wazima? Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi sababu ya msingi sana ni...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kutokana na vitendo vya kikatili vinavyomea kwenye jamii yetu serikali imeamua kuanzisha madawati ya jinsia karibu kwenye kila kituo cha polisi !ni jambo zuri Shida iliyopo ni kwamba madawati...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Pumzi anayotupa ni rasimali muhimu isiyoweza kufananishwa na kitu chochote, kwahiyo ni uungwana wetu kumshukuru yeye Muumba wa vyote, kwa upendeleo aliotupa mimi na wewe. Unadhani ni wangapi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…