Mke wa rafiki yangu ananitaka

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,197
431
Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha ishara za kunitaka hata messege za mapenzi baadhi ya cku ananirushia na kumwambia mumewe cwezi na kutofika kwa rafiki yangu pia ngumu nifanye nini."HII NI KWELI."
 
Rejea threads za humu ndani utakuja kukutana na kesi kama hii na humo utaopata ushauri wa bure wa kutosha tu
 
na wew ukioa na mkeo akimtaka rafiki yako?????

HESHIMU NDOA, USIFANYE NGONO NA MKE WA MWANAUME MWENZAKO......
 
mimi ningejiuliza swali hili
je wife wangu angemtaka huyo rafiki yangu..
huyo rafiki yangu angemuacha?????
kama ndio basi na wewe unamuacha....and vice versa
 
hivi kwanini tunaoa?arrrggh nikifikilia upimbi kama huu naonaga bora niendelee kuchakachua tu.......kaka wat goes around comes around
 
Inawezekana wewe una matatizo ya kiakili ndo mana ukawa na mawazo kuwapanda wake wa marafiki zako.
 
wewe hujawahi kula mke wa rafiki yako?

halafu mangeka yupo wapi aisee?????
Nimeshangaa sana na jibu lako, umejibu kirahisi tu kama vile ni kitu cha kawaida...
Kwa mtoa mada: Kwa nini usimtishie kua utamuonesha mume wake hizo msg iwapo ataendelea kukusumbua? anaweza kuogopa na kuacha. Ila pia jaribu kupunguza kwenda kwao, onana na rafiki yako sehem zingine. Tegemea kua mwanamke huyu ata weza kuchukia na kuanza kukutungia habari za ajabu.
 
hilo jibu sio jibu ni swali kwa Fazaa peke yake
umeona nimemuuliza hapo kuhusu mtu ambae sio member kabisa wa hapa jf...
kuna kitu namuuliza fazaa peke yake....its more of a teaser than an answer ..get it?????
 
NImekuelewa sasa, samahani kwa kushindwa kuelewa hayo na asante kwa kunielewesha.
 
Back
Top Bottom