Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada...
yule mwanajamvi anayesakwa kwa udi na uvumba ili aseme neno kuhusu jinsia yake ajulikanaye kama Bujibuji ameonekana na kuitwa.
kuonekana kwake ni katika uzi unaoulizia dawa ya mwanaume...
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi...
Nina rafiki yangu ana mpenzi wake ambaye amekwisha mtolea mahali tayari kwa ajili ya kumuoa!!Huyo mwanamke yeye ni mwalimu huko Morogoro na jamaa anafanya kazi Dar es Salaam,hivyo huwa na...
Marafiki Habari za Asubuhi,
Ujue mimi siamini maswala haya ya Ulonzi na nimeshindwa kujadiliana na mtu yoyote anayenijua vizuri kuhusu haya mambo...nikaona nije huku ili tu niliseme hili nitue...
Wadau,
Katika peruzi yangu nimekutana na hii Simulizi, ina huzunisha sana.
====================================================
SIMULIZI YA KWELI YA KUSISIMUA NA KUSIKITISHA YA MTOTO JANETH ...
Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu na mwanaume kicheche huoa mwanamke mtulivu. Ndoa nyingi ndivyo zilivyo na ndiyo maana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi ya HIV.
Kama una mfano...
1. Zamani wanaume walioa na wanawake waliolewa. Kila mmoja alitimiza majukumu yake vyema na kwa staha kubwa. Siku hizi watu wanaoana. Majukumu yote ni ya wana ndoa bila kujali jinsia.
2. Zamani...
Nimetafakari sana jambo hili
Zamani msemo huu ulikuwa ndo kama sala kwa wazazi kwenda kwa mabinti zao KUJITUNZA
Utaambiwa tunza mwili wako ni heshima mumeo akikukuta bado bikra
Sasa inakuwaje...
Wakuu wa MMU ni vyema tukawekana sawa.Kuna watu tumekuwa mabahili sana kwa mabinti.Tukiwa na appointment yeye atatoa hela ya chakula,mimi nitalipa gest.nauli ni kujitegemea.Hakuna kuja na timu ya...
Sijui ni kutamani au ndo nini, ila navutiwa sana na wanawake wenye nywele fupi. Hawa ni wale ambao hawajasuka, hawajatia midawa, hakuna wigi wala lace wig! Nawatazama sana nikikutana nao, mbaya...
Wakuu, kila mmoja apokee heshima kwa stahili yake. wenye mambo! haya, wale wa oyooo poa tu, wa shikamoo pia hali kadhalika.
hebu nipeni maoni yenu kuhusu ulikoishia utamaduni wa kina dada/mama...
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.
Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke...
kwa waliowahi kupigana shuleni,majumbani au makazini,nini kilikukasirisha? Mwisho wa mpambano ulipigwa au vp? binafsi nilipigana baada ya kubaishiwa na mvulana mwenzangu na kutemewa mate. ingawa...
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.
1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7...
Wengi wanakoga ujasiri wa kusimulia haya lakini wanakumbana nayo sana tu,! Ni hatari mno kwenda kulala na mwanamke usiyemfahamu kabisa, mmekutana bar au popote umemtongoza kakubali fasta mkifika...
Wadau leo napenda niseme juu ya suala la Mavazi ya kutega watu(mavazi yasiyo na staha) hasa kwa waajiriwa wa Umma.Nimeweka picha hapo juu kama kielelezo cha askari wa kike nchini Kenya,lakini hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.